Hii nchi kila kona fremu

Hii nchi kila kona fremu

Mafremu yanachafua nchi. Hakuna mpangilio wa kazi kutokana na sehemu husika.
Watz wanaishi kukariri na kuiga kuliko kutumia bongo Zao kuja na mawazo bunifu. Mipango miji ifike mahala ichukue hatua.
 
TUKO KWENYE UCHUMI WA MAFRAME
SASA MPAKA LUGALO BARRACKS NAO WANAWAWEKEA MAFRAME MNATEGEMEA NINI
PALE MAKAO YA FIRE KUNA FRAME
IKO SIKU MPAKA NJE YA JUMBA JEUPE PATAWEKWA MAFRAME 😄

OVA
Police Usa River nao wameona wasibaki nyuma wameshapiga frame.

Inabidi Watanzania tuchunguzwe akili. Hivi hakuna kitu cha kujenga zaidi ya frame?
 
Kuna sheria yoyote ile wamevunja kw kujenga hizo fremu za biashara? Ulitaka wajenge nini?

Au ndiyo muendelezo ule ule wa Wabongo kupenda tu kulalamika, huku mkiwa hamna suluhisho la hayo malalamiko yanu!
 
Umetoka huko ulikotoka ukaingia mjini. Jifunze mojawapo ya hizi shughuli.

Udalali wa magari
Udalali wa nyumba
Udalali wa viwanja
Udalali wa mazao
Udalali wa chochote kile

Ukishapata pesa nenda Kajenge mafremu, endelea na udalali.
Ukijidanganya sijui kufungua kampuni sijui kiwanda unarudi kwa wazazi wako popote walipo. Unless hicho kiwanda hakiongezi ushindani kwa bidhaa za viwanda vilivyopo vya wenye nguvu.
 
Back
Top Bottom