Hii nchi kila siku upigaji unaibuka mpya

Hii nchi kila siku upigaji unaibuka mpya

Nafaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
12,154
Reaction score
31,246
Naona siku hizi utapeli umehamia kwenye kuagiza mizigo na upatu.
Hapa utakuta mtu na akili zake anatoa ela halafu baadae anadai kapigwa. Wonders shall never end.
Screenshot_20220320_110139.jpg
 
Mwenye kujua maana ya “MAMUNANA”

Ukiitwa kwenye fursa jua wewe ni fursa. Ukitaka kula kubali kuliwa
 
Kwanza kuandika mwenyewe hajui eti 'HAWAMU' sijui ni mdudu gani ?
 
Mimi sio mtaalam wa uchumi Ila taasisi zetu za fedha hazioni kuna kitu hakipo sawa mpaka watu wanacheza upatu hivi?.
Idea zetu nyingi sisi waswahili zinafail kwa Sababu ya tamaa.
 
Hata humu JF wakijitokeza watu 10,000 tu wakinichangia 5000 kila mmoja nitakua nimeshapata 50,000,0000. Lkn wenye roho mbaya wataiona 5000 kubwa [emoji849]

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app

Weka namba yako ya simu faster ili sisi wenye roho nzuri tukuchangie na kukufanya kuwa milionea ndani ya masaa machache tu.
 
Back
Top Bottom