Hii nchi kuna watu itawashinda, Vifurushi vya Internet vimepandishwa kimya kimya

Asilimia 80% ya mafanikio kwenye biashara yanamtegemea mjasiriamali,kwakuwa nchi zinazoendelea zinatengeneza Sera ambazo hazina tija (uncertainty policies) kwaajili ya kufurahishana walioshika hatamu, wanasiasa wanatengeneza Sera ili wafanye siasa 'they make ineffective policies to make politics:
 
Kila waziri mpya akija kwenye hii wizara Jambo la kwanza Bei ya vifurushi inapaa.
What do they want us to THINK??
Aliingia Lile ndugu Bei ikapaa, naye huyu bbei imepaa.
Kuna kitu sio bure
 
Ukiona mitandao yote inapandisha bei za vifurushi kwa siku moja ujue sio takwa lao ni takwa la serikali.
 
Yes.....tususie kutumia internet muda wa wiki ama zaidi wapate bonge la hasara, na hapo hapo serikali ikoswe kodi kupitia mitandao. Hii ndio dawa halisi kamanda
Kwa kiwango cha unafiki cha Wabongo huwezi nishauri kitu eyote kuhusu kukacha kutumia Net!
 
Eti walisema Tanzania ndio nchi yenye gharama nafuu za bando kuliko nchi yeyote Afrika
 
Wapandishe zaidi, maofisini watu hawafanyi kazi, hawahudumii wananchi ipasavyo, wapo busy kuangalia video za Mayombi
Tatizo la nchi hii watu hawajagundua tuu, ni kuwa na kundi kubwa la wajinga kama huyu Naipendatz na wengine wa aina yake.
Hivi unajua kuwa wafanyabiashara wengi wa kati na wadogo sasa wanatumia zaidi biashara zao mitandao?
Kwa akili zako yaonyesha hilo hulijui au uccm imekujaa maana uccm ndio kitovu cha ujinga.
 
kwa kauli ya kinyonge kabisa
"Tumuachie Mungu tu"
 
Wafanyabiashara wanaweza kusajiliwa na wakatengenezewa vifurushi vyao maalum, mbona inawezekana kwa wanafunzi na baadhi ya taasisi? Mitandao holela ni janga kubwa kwa wanafunzi/teenagers na wafanyakazi especially kwenye nchi ambazo control ya hiyo mitandao ni ndogo! Kuna nchi serious zimeanza kushughulika na hilo, under 18 wameanza kuwa limited kwenye masaa kwa siku wanayoweza kuaccess baadhi ya mitandao kama tiktok, instagram n.k.!! Madhara yanayoweza kuletwa na hiyo mitandao holela ni makubwa kuliko hata hizo faida zinazopatikana kwenye hizo online bus..
 

 
Huu ndio ukweli mchungu sana: Watanzania hata wakiuziwa MB 1 ya internet kwa elfu kumi hakuna atakayegoma.
Ikizidi sana watapiga kelele mitandaoni basi.
Misumari mingi inayogusa maisha yao imepigwa kwenye ugoko wamevumilia sembuse hili.
 
Tozo za kimya kimya kukwepa kelele..

Mi-5 mingine tena!
 
Kwani Ndungulile anasemaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…