Hii nchi kuna watu itawashinda, Vifurushi vya Internet vimepandishwa kimya kimya

Wewe jamaa siku zote nimekuwa nikisoma comment zako na kupita lakini nimeona acha leo nikuambie kwamba "miongoni mwa watu wapumbavu nchi hii wewe ni mmoja wao. Wewe jamaa nadhani una zero IQ".
 
Chifu Hangaya yuko busy na kumwagiwa mbegu hayo mengine mtayajua wenyewe
 
Bado hujanishawishi, ni sawa na kutaka kiwanda cha bia kifungwe kwa vile walevi wawili watatu wamegongwa na magari kwa ulevi.
Huwezi kushauri kupandisha gharama ya bidhaa eti kwa vile kuna wenye matumizi mabaya
 
Wanasingizia speed [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tatizo la nchi hii ni ccm hawana dira wala muelekeo sahihi. Wamepoteana na wananchi. Wamekumbatia malengo tofauti na yale ya kimapinduzi waliyojinasibu nayo kipindi kinaungwa ungwa!
Ipo siku wananchi watashindwa kuvumilia haya madhila ya serikali za ccm!

Dammit!
 
Wewe jamaa siku zote nimekuwa nikisoma comment zako na kupita lakini nimeona acha leo nikuambie kwamba "miongoni mwa watu wapumbavu nchi hii wewe ni mmoja wao. Wewe jamaa nadhani una zero IQ".
Hahaha, unajua hata maana ya hiyo IQ? Na inapatikanaje? Au sababu unasikia kwa watu tu wanasema IQ nawe umelimeza zimazima
 
Tukikuwa tunamlaumu bure tu ndugulile, hapo shida sio waziri
 
Wanasingizia speed [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ni excuse ya kijinga kwa sababu hata speed iwe kubwa au ndogo lakini kiwango cha data unachoaxcess ni kile kile ila cha ajabu ila cha ajabu bando ya Voda inakata mapema licha ya kuwa data unayoaccess wakati mwingine ni dhahiri haifiki kiwango cha bando ulichoweka
 
Hahaha, unajua hata maana ya hiyo IQ? Na inapatikanaje? Au sababu unasikia kwa watu tu wanasema IQ nawe umelimeza zimazima
Wewe ni mjinga na Mpumbavu, wala hujifichi hata hapo mtaani kwako itakua unadharaulika sana mpaka na watoto wadogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…