Hii nchi kuna watu itawashinda, Vifurushi vya Internet vimepandishwa kimya kimya

Mkuu majuzi wife alilipia kingamuzi cha Dstv, sasa anadai wameweka makato nadhani ni tozo ambayo awali hayakuwepo. Kama umenunua kifurushi cha elf 21 ilikuwa inakatwa hiyo hiyo 21, lakini kwa sasa naona wameweka tozo. Ninachoona kwa sasa tozo zinaingizwa kimya kimya kila pahala....
 
Kwa kiwango cha unafiki cha Wabongo huwezi nishauri kitu eyote kuhusu kukacha kutumia Net!

Wako watakaojitokeza na kusema susia mwenyewe 😂 kamanda, hawa wachache ndio sababu ya serikali na makampuni ya simu kupandisha bei ya bundle/dakika
 
Mbona Mimi hawajanibadilishia
 
Uyu mwanamke kabebeshwa jukumu zito sana ambalo yey mwenyew haliwezi.. arudi tu nyumban akalee wajukuu.

Hana maamuzi yeyote kama rais.
 
Amtaki kuchanjwa af kazi kulalamika vifurushi, chanjweni kwanza..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…