Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Kuna rafiki yangu anafanya kazi TPA akitokea Taasisi moja ya umma baada ya Uhamisho kukamilika. Si unajua ukiwa na mbuyu unaweza kuhamia popote utakapotaka.
Sasa niweke pembeni habari za huyu mtumishi.
Yeye ni junior hana maajabu zaidi ya mshahara na posho zake za kawaida. Ila si haba ni pesa ndefu sana. Mshahara wake uliongezeka mara 4 zaidi ya mishahara wake wa zamani.
Kiutumishi nimemzidi cheo kwa daraja Moja maana tuko kada moja ila mshahara kaniacha mbali. Sasa akipanda daraja sijui ataniacha wapi.
Baba yake ni miongoni mwa viongozi wakubwa TPA, anasema kuwa baba yake na viongozi wenzake wana vikao 3 kwa siku na kila kikao kina posho.
Kwahiyo kwa wiki wanakaa vikao zaidi ya kumi na kila kikao kuna fedha.
Hapo piga wewe hesabu huyu mtu kwa mwezi anapata sh ngapi za kikao?
Asubuhi kuna kikao cha kupanga mikakati ya siku , mchana kikao cha kufanya tathmini, jioni cha kufunga kazi.
Hii nchi kuna watu ukiilaani serikali wanaweza kukupiga ngumi hadharani.