Hii nchi kuna Watumishi wa Umma wanakula raha nyie

Hii nchi kuna Watumishi wa Umma wanakula raha nyie

Wakina Tlaatlaah hao
wanatereza tu kama wako
kwenye barafu(joke)

usimind bana

Ova
hukuna mahali kuna mterezo dunia hii 🐒

ni kufanya kazi kwa uaminifu, bidii na maarifa tu, huku ukimtanguliza Mungu kama Nuru, ngao na mlinzi wa kutegemewa ktk kila ufanyalo, na hakuna namna ingine 🐒
 
Acha DP wapewe tu hiyo bandari, Humu serikalina muna uhuni mwingi sana, vikao uchwara na kujipangaia maposho tu kila siku halafu bado utawasikii wanalalamika nyongeza za mishahara. Wakati huku mitaani hali ni mbaya sana.

DP chukua bandari unyooshe watu.
 
Back
Top Bottom