Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
ukipenda unaweza kuwa chawa wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanalipwa shin ngapi?Asije akawa anakudanganya tu.Kuna rafiki yangu anafanya kazi TPA akitokea Taasisi moja ya umma baada ya Uhamisho kukamilika. Si unajua ukiwa na mbuyu unaweza kuhamia popote utakapotaka.
Sasa niweke pembeni habari za huyu mtumishi.
Yeye ni junior hana maajabu zaidi ya mshahara na posho zake za kawaida. Ila si haba ni pesa ndefu sana. Mshahara wake uliongezeka mara 4 zaidi ya mishahara wake wa zamani.
Kiutumishi nimemzidi cheo kwa daraja Moja maana tuko kada moja ila mshahara kaniacha mbali. Sasa akipanda daraja sijui ataniacha wapi.
Baba yake ni miongoni mwa viongozi wakubwa TPA, anasema kuwa baba yake na viongozi wenzake wana vikao 3 kwa siku na kila kikao kina posho.
Kwahiyo kwa wiki wanakaa vikao zaidi ya kumi na kila kikao kuna fedha.
Hapo piga wewe hesabu huyu mtu kwa mwezi anapata sh ngapi za kikao?
Asubuhi kuna kikao cha kupanga mikakati ya siku , mchana kikao cha kufanya tathmini, jioni cha kufunga kazi.
Hii nchi kuna watu ukiilaani serikali wanaweza kukupiga ngumi hadharani.
Sehemu gani?Kuna sehemu mfanyakaz wa kawaida tu tena ana diploma analipwa:- mshahara, risk allowance, house allowance, transport allowance, overtime kilasiku, communication allowance... Akijumlisha per month anaondoka na Million 3.4 cash....
Sasa wewe ng'ombe mtaani endelea kujifanya unajua kuimba nyimbo za kizalendo wakat wenzako wanakula mema ya nchi
Ni taasisi gani hiyo? Je wahandisi inatuhusu?Hapana sio...
😂😅 Ila Hao tcra wamoto sana sikuhiz
Mwanzo wa KUWANGIANAKuna rafiki yangu anafanya kazi TPA akitokea Taasisi moja ya umma baada ya Uhamisho kukamilika. Si unajua ukiwa na mbuyu unaweza kuhamia popote utakapotaka.
Sasa niweke pembeni habari za huyu mtumishi.
Yeye ni junior hana maajabu zaidi ya mshahara na posho zake za kawaida. Ila si haba ni pesa ndefu sana. Mshahara wake uliongezeka mara 4 zaidi ya mishahara wake wa zamani.
Kiutumishi nimemzidi cheo kwa daraja Moja maana tuko kada moja ila mshahara kaniacha mbali. Sasa akipanda daraja sijui ataniacha wapi.
Baba yake ni miongoni mwa viongozi wakubwa TPA, anasema kuwa baba yake na viongozi wenzake wana vikao 3 kwa siku na kila kikao kina posho.
Kwahiyo kwa wiki wanakaa vikao zaidi ya kumi na kila kikao kuna fedha.
Hapo piga wewe hesabu huyu mtu kwa mwezi anapata sh ngapi za kikao?
Asubuhi kuna kikao cha kupanga mikakati ya siku , mchana kikao cha kufanya tathmini, jioni cha kufunga kazi.
Hii nchi kuna watu ukiilaani serikali wanaweza kukupiga ngumi hadharani.
Acha wanga mkuu, philosophy sio kuwafanya Malaika waishi kama mashetani Bali ni kuwafanya mashetani nao waishi kama Malaika. Kwanini hujafikiria hiyo serikali makini ikiingia madarakani isiongeze posho kwa watumishi ambao hawana posho? Baada ya jiwe kukick the bucket, mama alituanzishia kaposho ka house allowance sie baadhi ya watumishi natamani na wengine wapate.Ikiingia serikali makini madarakani nikufuta Kabisa au kuondoa hizo posho zote za vikao. Vikao viwe sehemu ya kazi maana ndivo ilivo. Kumlipa mtu posho ya vikao siku hiohio alipwe na mshahara wa siku ni double payment. Nchi hii sio masikini kivile hakuna ugawanywaji sawa kufikia jamii nzima. Nahii ndoinaweka gap kubwa.
Ubinafsi mkubwa wa waafrika ndounaotuweka hapa tulipo. Kukishakuwa na usawa sikuzote vita hakuna. Hakuna usawa nchi hii kwakuwa rasilimali zinaelekea upande mmoja na kuacha upande mwingine mtupu Kabisa watu masikini wakiteseka. Hizo fedha zanyongeza zinazolipwa zikusanywe zikazibe gap za masikini na sehemu yauhitaji huduma muhimu za jamii.Acha wanga mkuu, philosophy sio kuwafanya Malaika waishi kama mashetani Bali ni kuwafanya mashetani nao waishi kama Malaika. Kwanini hujafikiria hiyo serikali makini ikiingia madarakani isiongeze posho kwa watumishi ambao hawana posho? Baada ya jiwe kukick the bucket, mama alituanzishia kaposho ka house allowance sie baadhi ya watumishi natamani na wengine wapate.
AhahahahMwanzo wa KUWANGIANA
Hakuniambia kuwa kikao kimoja sh.ngapi but aliniambia tu kuwa faza wake anakaa vikao 3 kwa siku na vyote analipwa. Mtoto na baba wote ni watumishi wa TPA.Wanalipwa shin ngapi?Asije akawa anakudanganya tu.
Si mnalalamika DP-WORLD hamuitaki ila watanzania kwa unafiki mungu anajua aisee.Vikao vitapungua sasa maana DP World ameshika hatamu kwenye lango kuu.
DP-WORLD kashaingia kukomesha majizi yoteWa hivyo lazima awe anaumwa Kisukari, ukimwi, au presha
Mhhh Hilo vikao vya posho mar Tatu Kwa siku mhhhh ... Hiyo ni taarabu shtuka!Kuna rafiki yangu anafanya kazi TPA akitokea Taasisi moja ya umma baada ya Uhamisho kukamilika. Si unajua ukiwa na mbuyu unaweza kuhamia popote utakapotaka.
Sasa niweke pembeni habari za huyu mtumishi.
Yeye ni junior hana maajabu zaidi ya mshahara na posho zake za kawaida. Ila si haba ni pesa ndefu sana. Mshahara wake uliongezeka mara 4 zaidi ya mishahara wake wa zamani.
Kiutumishi nimemzidi cheo kwa daraja Moja maana tuko kada moja ila mshahara kaniacha mbali. Sasa akipanda daraja sijui ataniacha wapi.
Baba yake ni miongoni mwa viongozi wakubwa TPA, anasema kuwa baba yake na viongozi wenzake wana vikao 3 kwa siku na kila kikao kina posho.
Kwahiyo kwa wiki wanakaa vikao zaidi ya kumi na kila kikao kuna fedha.
Hapo piga wewe hesabu huyu mtu kwa mwezi anapata sh ngapi za kikao?
Asubuhi kuna kikao cha kupanga mikakati ya siku , mchana kikao cha kufanya tathmini, jioni cha kufunga kazi.
Hii nchi kuna watu ukiilaani serikali wanaweza kukupiga ngumi hadharani.
Kabisa, Kwa wenzetu mtu analipwa kutokana na output huku sasa, unakuta taasisi Kila mwaka inapata loss then management inaongezewa mshaharaKinachotuumiza sisi wazalendo wa nchi hii ni utendaji kazi mbovu pamoja na kupokea pesa nyingi.ipo siku tutauondoa Huu upuuzi