Hypersonic WMD
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,337
- 1,876
Nimeshangaa sana ila ebu nitulie msije ninyima kazi zenu bure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapo wanajaza marks zenu mlizofanya leoNimeshangaa sana ila ebu nitulie msije ninyima kazi zenu bure
Watu wako busy kuweka matokeo yao ya 20% afu anakuja kulalamika hapa, sasa asubiri mtandao ukae vizuri ndio atajua hajuiUnasoma nin kwenye portal uko?
Kuna watu mnajua kulalamika..
hawatak tuangalie update🤣🤣🤣🤣
IT WAMEVURUGWA
😂😂Jinsi ma-IT walivyofanya maamuzi magumu
"Huyu anakaa anaingia kwenye portal kila saa hebu ngoja tupige chini mfumo atulie"
View attachment 3085306
ndo nn tena😂😂KAOLE SANAA GROUP as Usual!
Unaingia imeshatowekaMkeka unatupiwa zege halilali.....km hukuchukua namba ya mtihani kasheshe
update zipo kila baada ya dk 2Unasoma nin kwenye portal uko?
Kuna watu mnajua kulalamika..
matokeo ya 20% ndio yakoje hayoWatu wako busy kuweka matokeo yao ya 20% afu anakuja kulalamika hapa, sasa asubiri mtandao ukae vizuri ndio atajua hajui