Hypersonic WMD
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,337
- 1,876
- Thread starter
- #21
sio wote wamefanyaWapo wanajaza marks zenu mlizofanya leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio wote wamefanyaWapo wanajaza marks zenu mlizofanya leo
Mmh mkuu update gan uko baada ya dk 2u
update zipo kila baada ya dk 2
Yan umeyakanyaga kwa utumishimatokeo ya 20% ndio yakoje hayo
Hili nalo ni jambo la kuanzisha uzi?Habari zenu Wakuu..!!
Hivi kuna ambao wamekutana na hii Changamoto ya Ajira Portal siku ya Leo au ni kwangu tu.?
😅😅😅😅Watu wako busy kuweka matokeo yao ya 20% afu anakuja kulalamika hapa, sasa asubiri mtandao ukae vizuri ndio atajua hajui
Server zimejaa data za wananchi hawakujiandaa Kwani maombi yamekua mengi kuliko uwezo wa mitamboNimeshangaa sana ila ebu nitulie msije ninyima kazi zenu bure
Aisee kumbe hali n teteServer zimejaa data za wananchi hawakujiandaa Kwani maombi yamekua mengi kuliko uwezo wa mitambo
Tatizo la ajira n kubwaNaona mtandao umekua tatizo mpaka sielewii
Mmh mkuu update gan uko baada ya dk 2
Acha tu Asee..!Leo sijui kuna nini
Oya wakuu wa kazi najua nyie mnakuwaga active almost all time kwenye hili jukwaa, sasa naombeni muwe mnanitag kwenye nyuzi zinazohusiana na Ajira Portal Vincenzo Jr min -me Mbaga JrYan umeyakanyaga kwa utumishi
Hili hili jukwaa la ajira kuna uzi kibao, n jukumu lako kufatilia. Tema page ya kwanza kwenye jukwaa hili utazionaOya wakuu wa kazi najua nyie mnakuwaga active almost all time kwenye hili jukwaa, sasa naombeni muwe mnanitag kwenye nyuzi zinazohusiana na Ajira Portal Vincenzo Jr min -me Mbaga Jr
Swadakta mwamba 🤜🤛Hili hili jukwaa la ajira kuna uzi kibao, n jukumu lako kufatilia. Tema page ya kwanza kwenye jukwaa hili utaziona
Hahaaa kazi kweli kweli 😂Kwahy umekuja kuanzisha uzi humu 😂 bado hamjasema