Hii nchi ngumu kwaiyo saizi wakati wa kusoma na kupata Update za hizi ajira ndodo Ma - IT wanafanya maintainance?

Profile zenu zishaanza kufunguka taratibuu...
Ma IT wameenda kulala, wamesahau muwawekea mikoa.
 
Sisi tunaokandwa kesho atukuchukua namba huko chonde chonde nyie watu wa tehama mutuonee karoho Cha kutusaidia walau nasi tuje kwenye huo mkando na amani kidogo.
Achieni mfumo hata kwa nusu saa tu
 
Wamesha achia
 
Mnaoenda ktk usaili -_someni vitu vidogo vidogo hivyo ndo huwa vinatoka ktk mtihani
 
Sisi tunaokandwa kesho atukuchukua namba huko chonde chonde nyie watu wa tehama mutuonee karoho Cha kutusaidia walau nasi tuje kwenye huo mkando na amani kidogo.
Achieni mfumo hata kwa nusu saa tu
Mtihani wa Online huitaji kujua namba cha muhimu tu hapo ni Password na username.
Hata ukisahau password utasaidiwa kuipata UTUMISHI wapo fair. Best wishes
 
Kama hujaachukua namba na interview yako ni kesho ndo utaelewa sasa .....[emoji2][emoji119]
Huwa nayo majina na namba za interviewees,japo ni vizuri uwe umezinakiri sehemu.
 
Back
Top Bottom