Hii nchi ngumu kwaiyo saizi wakati wa kusoma na kupata Update za hizi ajira ndodo Ma - IT wanafanya maintainance?

Kusoma nini na kupata update ya kitu gani?

Kwan wahusika hawajui kuwa kuna watu wanatakiwa kupata hizo huduma?

Wao wanaweka mambo sawa ili mpate huduma afu mnakuja kulalamika, Wabongo bhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…