Hii nchi ngumu kwaiyo saizi wakati wa kusoma na kupata Update za hizi ajira ndodo Ma - IT wanafanya maintainance?

Yani majina yamelistiwa bila namba ?
Ule mkeka wa pdf wanaotoa huwa ni majina tu bila namba ya usaili kwa sababu maalum, huwa wanaficha ili mtahiniwa asijue namba ya watahiniwa wengine. Maana majibu ya usaili huwa yanatolewa kwa hizo namba za usaili wala sio majina ili kuweka confidentiality.
 
Yani majina yamelistiwa bila namba ?
Majina kweny pdf yana namba lakini sio namba ya Mtihani hiyo namba yako ya Mtihani utaikuta kweny akaunti yako au kweny karatasi ya kusaini kuingia kweny mtihani na kutoka.
NB. Kama umeisahau namba usipanic UTUMISHI watakutajia. Best wishes
 
Alooo
 
Kwamba wanaroho nuzri hivo
hiyo watawambia ambao hawana namba hawaingii imeisha iyo😂😂
Watu ni wengi sana wanajaribu kupunguza idadi kadiri iwezekanavyo
 
Majina kweny pdf yana namba lakini sio namba ya Mtihani hiyo namba yako ya Mtihani utaikuta kweny akaunti yako au kweny karatasi ya kusaini kuingia kweny mtihani na kutoka.
NB. Kama umeisahau namba usipanic UTUMISHI watakutajia. Best wishes
Jamani kwani majina yaliyotolewa ni kwa kada gani tofauti na za utendaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…