mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Walianza mashindano pamoja,moja kafeli kwenye hatua ya 1(32 Bora).
Mwingine kajikongoja hadi 8 Bora,chaajabu alieishia 32 bora anamnyoshea kidole mwenzie kwanini umeishia njiani?
Tukumbushane tu Uto hamjafanya vizuri malengo yenu ilikua kucheza makundi Ccl ,kitu ambacho mmeshindwa..Simba malengo yake ilikua kucheza nusu fainal ccl nae ameshindwa pia..hivi vichekesho vya fainal vitawapoteza...
Hii ni sawa na Alieongoza veta alikoenda baada ya kufeli la Saba kumcheka alisup University
Kwahiyo mwakani mnataka mcheze Cafchampions league ama confederation?