Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Mwaka huu mtatumia mifano yote ya Kiswahili. Ila mwisho wa siku, ndiyo hivyo tena! Tarehe 28 ya mwezi huu (Jumapili), Yanga anacheza fainali ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika. What a record!! 💪Walianza mashindano pamoja,moja kafeli kwenye hatua ya 1(32 Bora).
Mwingine kajikongoja hadi 8 Bora,chaajabu alieishia 32 bora anamnyoshea kidole mwenzie kwanini umeishia njiani?
Tukumbushane tu Uto hamjafanya vizuri malengo yenu ilikua kucheza makundi Ccl ,kitu ambacho mmeshindwa..Simba malengo yake ilikua kucheza nusu fainal ccl nae ameshindwa pia..hivi vichekesho vya fainal vitawapoteza...
Hii ni sawa na Alieongoza veta alikoenda baada ya kufeli la Saba kumcheka alisup University
Kwahiyo mwakani mnataka mcheze Cafchampions league ama confederation?
Hongereni Yanga! 💚💛 Hongereni Wananchi kwa kuliheshimisha Taifa!! 💪