mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Hajasup bali amedisco bora wa veta katimiza malengo kuliko aliyediscoWalianza mashindano pamoja,moja kafeli kwenye hatua ya 1(32 Bora).
Mwingine kajikongoja hadi 8 Bora,chaajabu alieishia 32 bora anamnyoshea kidole mwenzie kwanini umeishia njiani?...
Tukumbushane tu Uto hamjafanya vizuri malengo yenu ilikua kucheza makundi Ccl ,kitu ambacho mmeshindwa..Simba malengo yake ilikua kucheza nusu fainal ccl nae ameshindwa pia..hivi vichekesho vya fainal vitawapoteza ..
Hii ni sawa na Alieongoza veta alikoenda baada ya kufeli la Saba kumcheka alisup University
Kwahiyo mwakani mnataka mcheze Cafchampions league ama confederation?
Walianza mashindano pamoja,moja kafeli kwenye hatua ya 1(32 Bora).
Mwingine kajikongoja hadi 8 Bora,chaajabu alieishia 32 bora anamnyoshea kidole mwenzie kwanini umeishia njiani?...
Tukumbushane tu Uto hamjafanya vizuri malengo yenu ilikua kucheza makundi Ccl ,kitu ambacho mmeshindwa..Simba malengo yake ilikua kucheza nusu fainal ccl nae ameshindwa pia..hivi vichekesho vya fainal vitawapoteza ..
Hii ni sawa na Alieongoza veta alikoenda baada ya kufeli la Saba kumcheka alisup University
Kwahiyo mwakani mnataka mcheze Cafchampions league ama confederation?
Tutauvuka mto tukilifikia daraja,haraka ya nini!?Walianza mashindano pamoja,moja kafeli kwenye hatua ya 1(32 Bora).
Mwingine kajikongoja hadi 8 Bora,chaajabu alieishia 32 bora anamnyoshea kidole mwenzie kwanini umeishia njiani?
Tukumbushane tu Uto hamjafanya vizuri malengo yenu ilikua kucheza makundi Ccl ,kitu ambacho mmeshindwa..Simba malengo yake ilikua kucheza nusu fainal ccl nae ameshindwa pia..hivi vichekesho vya fainal vitawapoteza...
Hii ni sawa na Alieongoza veta alikoenda baada ya kufeli la Saba kumcheka alisup University
Kwahiyo mwakani mnataka mcheze Cafchampions league ama confederation?
akiwa Mwananyamala Komakoma [emoji23][emoji23]Unateseka ukiwa wapi?
Yanga alikuwa na malengo ya kucheza makundi ni sawa ila kwa hapa alipofikia ana hatua moja ya kuwa zaidi ya Al Hilal aliyeshiriki mara kwa mara mashindano ya CAF. Yanga kama itabeba kombe basi ni dhahiri kuwa kwenye rank za CAF atakuwa juu ya Al Hilal ambayo ndiye iliyoitoa Yanga katika klabu bingwa. Na itakuwa imepishana kwa nafasi sita na Simba katika rank za CAF ikumbukwe tu kuwa robo robo fc nafasi aliyokuwepo amejichanga changa kwa misimu na misimu kwa kupanda mdogo mdogo lakini Yanga kama ikichukua kombe la CAFCC atakuwa ametoka kwenye nafasi ya mwisho (timu ya 75 akiwa point 0.5) hadi nafasi ya 15.Walianza mashindano pamoja,moja kafeli kwenye hatua ya 1(32 Bora).
Mwingine kajikongoja hadi 8 Bora,chaajabu alieishia 32 bora anamnyoshea kidole mwenzie kwanini umeishia njiani?
Tukumbushane tu Uto hamjafanya vizuri malengo yenu ilikua kucheza makundi Ccl ,kitu ambacho mmeshindwa..Simba malengo yake ilikua kucheza nusu fainal ccl nae ameshindwa pia..hivi vichekesho vya fainal vitawapoteza...
Hii ni sawa na Alieongoza veta alikoenda baada ya kufeli la Saba kumcheka alisup University
Kwahiyo mwakani mnataka mcheze Cafchampions league ama confederation?
Kombe la HistoryWale chuma hikooo
Sijawahi kuona sup ya kuishia njiani huko ni Ku discontinue,x pili kheri aliesoma VETA akahitimu kuliko alieishia njiani. Harvard universityWalianza mashindano pamoja,moja kafeli kwenye hatua ya 1(32 Bora).
Mwingine kajikongoja hadi 8 Bora,chaajabu alieishia 32 bora anamnyoshea kidole mwenzie kwanini umeishia njiani?
Tukumbushane tu Uto hamjafanya vizuri malengo yenu ilikua kucheza makundi Ccl ,kitu ambacho mmeshindwa..Simba malengo yake ilikua kucheza nusu fainal ccl nae ameshindwa pia..hivi vichekesho vya fainal vitawapoteza...
Hii ni sawa na Alieongoza veta alikoenda baada ya kufeli la Saba kumcheka alisup University
Kwahiyo mwakani mnataka mcheze Cafchampions league ama confederation?
😱Sijawahi kuona sup ya kuishia njiani huko ni Ku discontinue,x pili kheri aliesoma VETA akahitimu kuliko alieishia njiani. Harvard university
Hii ni sawa na Alieongoza veta alikoenda baada ya kufeli la Saba kumcheka alisup University[emoji419][emoji375]Walianza mashindano pamoja,moja kafeli kwenye hatua ya 1(32 Bora).
Mwingine kajikongoja hadi 8 Bora,chaajabu alieishia 32 bora anamnyoshea kidole mwenzie kwanini umeishia njiani?
Tukumbushane tu Uto hamjafanya vizuri malengo yenu ilikua kucheza makundi Ccl ,kitu ambacho mmeshindwa..Simba malengo yake ilikua kucheza nusu fainal ccl nae ameshindwa pia..hivi vichekesho vya fainal vitawapoteza...
Hii ni sawa na Alieongoza veta alikoenda baada ya kufeli la Saba kumcheka alisup University
Kwahiyo mwakani mnataka mcheze Cafchampions league ama confederation?
faida gani ku disco chuo unazurula mtaani na mwenzako wa VETA ana ajira?Hii ni sawa na Alieongoza veta alikoenda baada ya kufeli la Saba kumcheka alisup University[emoji419][emoji375]
The end justifies the means!faida gani ku disco chuo unazurula mtaani na mwenzako wa VETA ana ajira?
Ajira gani tuanze hapo?? Hyo ajira haiondoi ukweli kuwa mwenzio ana cheti cha Unv. Maana ajira inaweza kuwa hata ya ukinyozi..si Veta banafaida gani ku disco chuo unazurula mtaani na mwenzako wa VETA ana ajira?