Hii nchi ni kichekesho sana, Alieongoza "VETA" ana mcheka "aliesup" University

Mwaka huu mtatumia mifano yote ya Kiswahili. Ila mwisho wa siku, ndiyo hivyo tena! Tarehe 28 ya mwezi huu (Jumapili), Yanga anacheza fainali ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika. What a record!! 💪

Hongereni Yanga! 💚💛 Hongereni Wananchi kwa kuliheshimisha Taifa!! 💪
 
Mechi ya Waafrika Vs Waarabu.
Waafrika pekee mwaka huu waliongia fainali za mashindano ya CAF.
 
Yaani mwaka huu mtatoa mifano yoooteee..!!! Lakini ukweli utabaki pale pale NYIE NI WAZEE WA ROBO FAINALI..!!

Huko huko ulikokuita VETA ndo mlipigwa faini kwa kuroga..!! Mliroga kimataifa..!!

CC Kalpana
 
Mbumbumbu katika ubora wake
 
Kumbuka huyo wa Veta alikuwa anakutoa knock out darasani.
 
Labda niku fahamishe tu kwamba CAF stands for Confederation of African Football kwahio Confederation haikimbiwi
Hata Europa inaitwa UEFA Europa league. Na kuna Ile UEFA champions league ya mabingwa.

Hiyo point yako haiwezi kuondoa uhalisia kuwa nyinyi ni maluza tu
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…