Hii nchi ni yetu sote. Bunge liyavunje maridhiano, DP World wasipewe banadari. Tutafute pesa na kuwekeza wenyewe

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Kwani ni lazima kuboresha bandari yetu kwa kutumia Dp World?

Kwani sisi hatuwezi kuwapa kandarasi wachina na kuboresha hayo maeneo muhimu na kuweza kuongeza ufanisi?

Bora kukopa China na kuwekeza hizo cranes kuliko kuuza Bandari ya Watanganyika. Kila kona ni kilio tu na hamuaminiki.
 
Hakika Tanganyika tumeumizwa Sana kwa hii issue ya bandari
 
Huna akili. Uwekezaji gani mnaweza Tanzania zaidi ya wizi tu
Usikimbilie kuwaambia wenzako hawana akili. Maana yawezekana pia ambaye hana akili ukawa ni wewe.

Kumbuka NBC ilipouzwa kwa makaburu, watu walilalamika sana wakitoa mawazo mbalimbali namna ya kuiboresha.

Serikali haikuwasikiliza wananchi. NBC ikauzwa. Wenye akili wakayatumia mawazo ya watu mbalimbali yaliyokuwa yametolewa kuweza kuiboresha NBC. Wakayatumia hayo mawazo kwa benki iliyokuwa ndogo sana wakati huo, bank ya CRDB. Inaiona CRDB iliko leo? Ni nini kikubwa ambacho NBC inaizidi CRDB?

Taasisi na mashirika ya umma yaliyo chini ya Serikali, yanashindwa kuwa na ufanisi kutokana na ubovu wa Serikali. Yakipewa uhuru, yajiendeshe kwa kuzingatia weledi, na siyo mambo yale ya kijinga ya Serikali, ufanisi utakuwepo.
 
Kwani ni lazima kuboresha bandari yetu kwa kutumia Dp World?

Kwani sisi hatuwezi kuwapa kandarasi wachina na kuboresha hayo maeneo muhimu na kuweza kuongeza ufanisi?

Bora kukopa China na kuwekeza hizo cranes kuliko kuuza Bandari ya Watanganyika. Kila kona ni kilio tu na hamuaminiki.
Bunge livunje makubaliano waliopitisha wenyewe Wabunge,hilo uliliona wapi!? Bunge likivunja tunapigwa mapemaa huko Mahakamani Kama alivyopigwa Djibouti saa hizi wanalia kilio cha Mbwa Koko! Tukubali tushwa pigwa tuendelee na Mambo mengine Kama yapo!!
 
Kwani ni lazima kuboresha bandari yetu kwa kutumia Dp World?

Kwani sisi hatuwezi kuwapa kandarasi wachina na kuboresha hayo maeneo muhimu na kuweza kuongeza ufanisi?

Bora kukopa China na kuwekeza hizo cranes kuliko kuuza Bandari ya Watanganyika. Kila kona ni kilio tu na hamuaminiki.
Kama TPA wanakusanya billion 773 harafu matumizi yao ni billion 770 faida nini billion 3 hata tuwekeze matrilioni ya pesa tutakuwa tunawetengenezea wengine ulaji huku tukiliingiza taifa katika madeni
 
Accountability na uwekezaji ni mawili tofauti
 
tathmini ya haraka uwekezaji hauna maana Tanzania,hivi tumeshindwa kuwapa diaspora ambao wanamitaji Yao!
 
Back
Top Bottom