Jemima Jackson
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 748
- 934
Bandari zetu zinabaki chini ya TPA ccm kaambali na bandari zetu.Kwani ni lazima kuboresha bandari yetu kwa kutumia Dp World?
Kwani sisi hatuwezi kuwapa kandarasi wachina na kuboresha hayo maeneo muhimu na kuweza kuongeza ufanisi?
Bora kukopa China na kuwekeza hizo cranes kuliko kuuza Bandari ya Watanganyika. Kila kona ni kilio tu na hamuaminiki.