Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Kwa sasa hivi hiyo Bandari anaendesha makalio yako?Huna akili. Uwekezaji gani mnaweza Tanzania zaidi ya wizi tu
Tatizo ni IQ hafifu na ni ulemavu kama ulemavu mwingine.Huna akili. Uwekezaji gani mnaweza Tanzania zaidi ya wizi tu
Mpuuzi kama wewe kuchangia hii mada ni kupoteza mudaTatizo ni IQ hafifu na ni ulemavu kama ulemavu mwingine.
Nimechangia au nime expose ulemavu wako?Mpuuzi kama wewe kuchangia hii mada ni kupoteza muda
Usikimbilie kuwaambia wenzako hawana akili. Maana yawezekana pia ambaye hana akili ukawa ni wewe.Huna akili. Uwekezaji gani mnaweza Tanzania zaidi ya wizi tu
Hapo tuko pamoja.Kuna haja bunge kukaa upya na kujadili tena mkataba huo na kisha kuiagiza Serikali ikaurekebishe!
Bunge livunje makubaliano waliopitisha wenyewe Wabunge,hilo uliliona wapi!? Bunge likivunja tunapigwa mapemaa huko Mahakamani Kama alivyopigwa Djibouti saa hizi wanalia kilio cha Mbwa Koko! Tukubali tushwa pigwa tuendelee na Mambo mengine Kama yapo!!Kwani ni lazima kuboresha bandari yetu kwa kutumia Dp World?
Kwani sisi hatuwezi kuwapa kandarasi wachina na kuboresha hayo maeneo muhimu na kuweza kuongeza ufanisi?
Bora kukopa China na kuwekeza hizo cranes kuliko kuuza Bandari ya Watanganyika. Kila kona ni kilio tu na hamuaminiki.
Serekali irekebishe Mkataba kwani wao ndiyo wameandaa huo Mkataba!? Serekali yako imepewa ku sign tu huo Mkataba!!Kuna haja bunge kukaa upya na kujadili tena mkataba huo na kisha kuiagiza Serikali ikaurekebishe!
Amekugusa mkuu 🤣🤣🤣Huna akili. Uwekezaji gani mnaweza Tanzania zaidi ya wizi tu
Kama TPA wanakusanya billion 773 harafu matumizi yao ni billion 770 faida nini billion 3 hata tuwekeze matrilioni ya pesa tutakuwa tunawetengenezea wengine ulaji huku tukiliingiza taifa katika madeniKwani ni lazima kuboresha bandari yetu kwa kutumia Dp World?
Kwani sisi hatuwezi kuwapa kandarasi wachina na kuboresha hayo maeneo muhimu na kuweza kuongeza ufanisi?
Bora kukopa China na kuwekeza hizo cranes kuliko kuuza Bandari ya Watanganyika. Kila kona ni kilio tu na hamuaminiki.
Mkuu Mkoloni wa Kiingereza alituachia Nchii ikiwa intact ikiwa na viwanda nk.Wizi wa taa za magari na wipers utawajua tu
Accountability na uwekezaji ni mawili tofautiKama TPA wanakusanya billion 773 harafu matumizi yao ni billion 770 faida nini billion 3 hata tuwekeze matrilioni ya pesa tutakuwa tunawetengenezea wengine ulaji huku tukiliingiza taifa katika madeni
Haijaamua tu kufanya.Huna akili. Uwekezaji gani mnaweza Tanzania zaidi ya wizi tu