Jemima Jackson
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 748
- 934
Bandari zetu zinabaki chini ya TPA ccm kaambali na bandari zetu.Kwani ni lazima kuboresha bandari yetu kwa kutumia Dp World?
Kwani sisi hatuwezi kuwapa kandarasi wachina na kuboresha hayo maeneo muhimu na kuweza kuongeza ufanisi?
Bora kukopa China na kuwekeza hizo cranes kuliko kuuza Bandari ya Watanganyika. Kila kona ni kilio tu na hamuaminiki.
Kwani ni lazima kuboresha bandari yetu kwa kutumia Dp World?
Kwani sisi hatuwezi kuwapa kandarasi wachina na kuboresha hayo maeneo muhimu na kuweza kuongeza ufanisi?
Bora kukopa China na kuwekeza hizo cranes kuliko kuuza Bandari ya Watanganyika. Kila kona ni kilio tu na hamuaminiki.
Sasa kama mmeshindwa miaka 60 yote na watu wanazidi kuwa maskini tu unategemea niniKwani ni lazima kuboresha bandari yetu kwa kutumia Dp World?
Kwani sisi hatuwezi kuwapa kandarasi wachina na kuboresha hayo maeneo muhimu na kuweza kuongeza ufanisi?
Bora kukopa China na kuwekeza hizo cranes kuliko kuuza Bandari ya Watanganyika. Kila kona ni kilio tu na hamuaminiki.
Ndo mana ni ya hovyo wizi ndo umejaa huko yaani ni sehemu ya kupiga kwa walip wachache. Acha liuzwe tuKwa sasa hivi hiyo Bandari anaendesha makalio yako?
Mama namuombea Mungu amuamshe maana hili jambo ni zito mno na linamharibia mnoKwani ni lazima kuboresha bandari yetu kwa kutumia Dp World?
Kwani sisi hatuwezi kuwapa kandarasi wachina na kuboresha hayo maeneo muhimu na kuweza kuongeza ufanisi?
Bora kukopa China na kuwekeza hizo cranes kuliko kuuza Bandari ya Watanganyika. Kila kona ni kilio tu na hamuaminiki.
tathmini ya haraka uwekezaji hauna maana Tanzania,hivi tumeshindwa kuwapa diaspora ambao wanamitaji Yao!
Yaani kuna watu wanakuambia tuachiweMkuu Mkoloni wa Kiingereza alituachia Nchii ikiwa intact ikiwa na viwanda nk.
Tumeshindwa tulikalia kuiba tu kila tupatapo fursa.
Mbona hii hata sisi tunaweza.Kujenga cranes kushusha makontena