baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 14,971
- 18,641
Tanzania nchi yangu imekutwa na nini na hii nchi tunaiepeleka wapi?
Baada ya uchaguzi huu na uchafuzi nilitegemea sasa ni mda wa kuombana msamaha na kutibu majeraha yaliyotokana na uchaguzi
Nilitegemea vijana wote waliokamatwa kuachiwa huru pamoja na yule binti Mdogo Niffer nakupewa onyo kali sana tunajua wote ujana ni maji ya moto ghafla nawapa kesi ya Uhaini vijana wadogo hamna aibu kweli? Au kwasababu sio watoto wenu?
Hii nchi mnaipeleka wapi tunawalinda wakina nani tunalinda nini? Mbona kama sikio la kufa haliskii dawa. Serikali inapimana msuli na Nguvu ya Umma kila siku nasema Umma haujawai kushindwa kwanini tufike huku.
Watanzania sio kwamba ni wajinga au wamelala wanaona kila kinachoendelea na wanatafuta muafaka Je mnataka kupeleka nchi kwenye Civil War hii nchi mnataka kuingeuza Congo kwa maslahi ya nani? Tunataka kupeleka nchi kwenye matatizo kwa maslahi ya kikundi cha watu wachache wanaopambana kulinda Mali zao walizoiba
Umma ukiwapa kidogo ni rahisi sana maadui kuingia nchini na kuwapa msaada wananchi na hapo tutakua hatuna Taifa tena yanaenda kutokea ya Sudan, Congo na nchi nyingine.
Tunaenda kundumbukia kwenye shimo kabisa tunaliona kwa macho yetu kwa ajili ya maslahi ya kikundi kidogo sana kinacholinda maslahi yake. Tafadhali sana tunabuomba jitafakari watawala tunaenda kundumbukia kwenye shimo.
Watanzania wa sasa sio wa kutisha tena na kesi za uhaini na Uchochezi na bunduki na risasi wameshajua hizo kesi wanapewa watu kuwanyongonyesha kiufupi hizi kesi zinaenda kuzoeleka nini kifanyike?
Acheni kupuuza acheni dharau na viburi tukae chini tuzungumze waliokamatwa wote wachiwe huru
Kuna mafisadi huko serikani wamefanya kila aina ya wizi alafu mnaenda kuangaika na watoto wa watu ambao walikua wanatimiza majukumu yao kikatiba?
Mimi niliwaomba hapa kabla ya October 29 kwamba tukae mezani tuzungumze na hawa wanaotaka maadamano tujue wanataka nini mkaleta dharau na viburi sasa mmesababishia mpasuko mkubwa kwenye taifa na still bado mnaendelea kutengeneza mpasuko
Sawa nyie mda dola lakini serikali zote zilizoanguka zilikua na dola tukae mezani viongozi tubuni mmekosea wananchi nyie ni binadamu msizidi kutupeleka kwenye shimo Yakiitishwa maandamano mengine itakua ni Vita Civil War tusifike huku Tafadhali.
Soma pia:
1) Tunaelekea wapi kama Taifa? Ni nini hatma ya Tanzania na raia wake katika Utawala wa Samia?