mshipa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 12,253
- 22,843
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanaume wa Jf wanaishi kwenye sayari ambayo haipo duniani. Huku mtaani hawapo wa aina yao
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulio wengi sisi sio vijana wadogo, tumetoka mbali, Angalia ID zote zenye miaka mingi ni watu wazima sisi.Habari za sasa wana JF MMU.
Nikiri kuwa ukifatilia stori za hapa na pale zinazopostiwa humu JFs utagundua kuwa wanaume wa humu wengi wamejaaliwa, wananemeka, wanabahati, wana mazali ya kufa mtu. Kwanza wanaume wa humu wana sifa zifuatazo
1. Wote ni mahandsome
2. Wote wana pesa, magari, majumba mazuri na mageto ya maana.
3. Kila mwanaume humu ana demu/mke mkali, mzuri, mrembo, mwenye shepu nzuri, sura kama malaika.
4. Wanaume wa humu hawanyanyaswi wala kusumbuliwa na wanawake.
5. Wengi hawatongozi ila wanatongozwa kutokana na mvuto walio nao wa sura au
Pesa.
6. Wengi wameshatembea na wanawake kuanzia 10 hadi 300. Hii ni baraka, zali la mentali.
7. Hawahongi.
stori nyingi za humu hazifanani na uhalisia huku kwenye jamii tunakoishi. Mademu wapo lakini siyo kama inavyooneshwa na kurahisishwa humu. Kuna mtu atakwambia amevuta mademu wote wa halmashauri fulani au wa ofisi fulani utadhani yeye ni mwanaume peke yake na wanawake wanamwangalia yeye tu. Wanaume tuache maigizo ya kujimwambafy inatupunguzia heshima sio sifa. Uongo haumusaidii kitu. Tutoe mastori ya kupendeza na kufurahisha lakini yawe na uhalisia.
Hata aliyelala guest bububu pale Buguruni za elfu 10 basi akija humu anasema alilala na demu mkali hotel fulani maarufu hapa Dar.
Hahahaaaa leo nimewaumbuaaa!!! Kama mbwai iwe mbwai tu.
Hahahaaa tazama thread zao haiwesi kuwa sote tuna maisha sawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Asante kwa taarifa lakini nataka kuuliza tu umejuaje kuwa wapo hivyo?!
Hahahaa
Hata mi napenda kujaa huko maana najifunza kuwa umasikini na sura tunazo chukua za babu zetu zinafaa tuwe na pesaHahahaa. Lakini cha ajabu kwenye hizo nyuzi za aina hiyo watu ndio wanajaa mbaya kuonyesha kwamba hizo kamba ndio burudani kwao
Haswa
Hahahaaa. Umeonaee!! Hivyo Mleta uzi awache kuwachachia hao waigizaji.Hata mi napenda kujaa huko maana najifunza kuwa umasikini na sura tunazo chukua za babu zetu zinafaa tuwe na pesa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekusaidia kucheka.
Ni kweli maana hao mahendsome anao wazungumzia hapa ni wale kaka zake wanao kaa kwake aliko olewaHahahaaa. Umeonaee!! Hivyo Mleta uzi awache kuwachachia hao waigizaji.
Alisikika akisema.........8. Wengi mafurushi.
Jiandae mtoa mada kuoga mapovu ya kutosha.
😂😂😂😂 hawakawii kusema jamaa anakaa kwa shemeji kisa huu uzi.Mkuu usitishike, mbona tupo tunaokaa kwa shemeji
Cc chaliifrancisco