Uchaguzi 2020 Hii ndio awamu iliyofeli kuliko awamu zote zilizopita

Hii awamu kuna ufisadi wa kutisha ambao ukiwekwa wazi hadi virus vya corona vinayeyuka bila sanitizer
 
Wewe ni nyani mwenye umbo la Binadamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii awamu kuna ufisadi wa kutisha ambao ukiwekwa wazi hadi virus vya corona vinayeyuka bila sanitizer
Ndo maana Bulembo anasema dawa ya corona ni Magufuli kupita bila kupingwa ili ufisadi uendelee kutamalaki huku wanyonge wakizidi kunyongwa
 
Na ndo maana tunawapa elimu mbovu ya bure ili wasiweze kufanya informed decision lakini pia tumejitahidi kuajiri akina bashite wengi police ili ukimwambia ua aue akigoma unatishia kumfukuza kazi na kwa kuwa ni rumpeni basi anatii na kuamua kuua
Tunajua mlishazoea CCM ifanye makosa ili mpate kick. Sasa wapo makini na kibaya zaidi umakini utaongezeka mara mbili ya miaka mitano hii ya kwanza ya JPM
Soma bajeti ya Tamisemi 2020-2021 alafu utaona mambo yatavyofanyika.
Poleni sana yale mastori ya Epa,Escrow Kagoda n.k, hamtayasikia tena.
Mbaya zaidi wale jamaa zenu wà ujerumani nasikia wamewakatia laini.
Wameona hamna haja ya kuwapa hela za bure wakati CCM chini ya JPM inapiga kazi.
 
Ndo maana Bulembo anasema dawa ya corona ni Magufuli kupita bila kupingwa ili ufisadi uendelee kutamalaki huku wanyonge wakizidi kunyongwa
Bulembo ni mbunge wa viti maalum ndio maana anaweza kuongea chochote ili kumfurahisha aliyemteua
 
Report ya CAG inasema TRA kwa mwaka wamekusanya 15 trioni ,budget yetu ilikuwa 33 trioni,wewe kwa elimu yako ya shule ya kata unaelewa nini hapo?
 
Report ya CAG inasema TRA kwa mwaka wamekusanya 15 trioni ,budget yetu ilikuwa 33 trioni,wewe kwa elimu yako ya shule ya kata unaelewa nini hapo?
Wewe uliesoma shule za kishua nipe elimu mimi nitaelewa nini? Ila ukweli unabaki kuwa JPM amepiga kazi na amewakaba mpaka hampumui.
 
Wewe uliesoma shule za kishua nipe elimu mimi nitaelewa nini? Ila ukweli unabaki kuwa JPM amepiga kazi na amewakaba mpaka hampumui.
Wizara inapelekewa 20 % ya budget, idara inapelekewa 0% ya budget harafu wewe unakuja hapa kwamba Magufuli anapiga kazi, kazi gani hiyo? Barabara ya njia sita toka ubungo hadi Chalinze,kawaambia world Bank wanamchelewesha hivyo yeye anaanza watamkuta mbele,tusaidie tangu ameanza miaka miwili iliyopita amefika wapi? Kapime corona utakuwa unaumwa
 
Gongo la mavi hilo!
 
Bulembo ni mbunge wa viti maalum ndio maana anaweza kuongea chochote ili kumfurahisha aliyemteua
Kuwa mbunge wa kuteuliwa sio sababu ya kumbeza mtu. Suala la msingi ametoa hoja ya namna gani?na ina mantiki gani?
We huoni Chadema na wapinzani wote wanatakiwa wasipoteze pesa zao kuweka mgombea wa urais? Maana hata ubunge na udiwani itakuwa tabu sana kutoboa.
 
Kila siku bora jana kwa watanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…