Yule CAG Assard si ndio aligundua maufisadi ya mabilioni ya hela kwenye chama Chenu yalitafunwa mkajifanya kupotezea..vipi mlishazirudisha bilioni zenu.Mbona mnaogopa uchaguzi.....kwa nn na siasa mmekua mkifanya nyie miakan 5. Hivi ccm inaweza kua na hoja yoyote kwa mtz? Ufisadi hii awamu ni mafisadi kuliko zote zilizopita.....na mauchafu mengine km ununuzi wa ndege inabidi muyafiche kule kusikogusika.....
Mpaka leo 1.5tn hazijulikani zilipo kinachojulikana ni kumfukuza kihuni CAG kwa kuwapa ukweli watz