Jile79
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 17,668
- 13,263
Kufeli kwake kulianza siku ya kwanza ambapo aliwekeza kuwachukia wapinzani wkt wapinzani ndio wamefanya makubwa na nchi kuonekana ya kiuwajibikaji........
Kilichofuata sio kujenga viwanda wala kuzalisha ajira au kusaidia wakulima au kuweka mazingira mazuri ya kibiashara nchini bali alianza kuharibu misingi yoye ya kuheshimu katiba na sheria, misingi ya kiuchumi ya kijamii ya kisiasa etc.....
A FAILED PRESIDENT.....