Uchaguzi 2020 Hii ndio awamu iliyofeli kuliko awamu zote zilizopita

Uchaguzi 2020 Hii ndio awamu iliyofeli kuliko awamu zote zilizopita

Ziko sababu lukuki za kuonesha namna awamu hii ilivyofeli

1. Ikumbukwe walipoingia madarakani walituaminisha masuala ya wafanyakazi hewa na wanafunzi hewa wakatuambia na kiasi walichookoa na wakaendelea kutuaminisha awamu zilizopita zilikusanya kidogo embu tuone kuna ukweli.

(A) Awamu iliyopita hawakuchukua vyanzo vyama halmashauri, kwa wa machinga pia hawakuchukua sekta binafsi ndio ilikuwa injini sasa awamu hiii imechukua vyanzo vyote vya halimashauri lakini inaongoza kwa kukopa tena nje ya utaratibu Leo tycoon akitaka hata ajengewe sanamu yake pale chamwino DODOMA hahitaji baraka za bunge

(B) Mahakama kuwa karibu na serikali hasa kwenye kesi zinazokiuka haki rejea kesi ya Godbless Lema kesi ya viongozi wa chadema ama kesi iliyosomwa jana ya Mike Mushi na Melo nyuma ya hizi hukumu kuna mkono shinikizi kupitia mfumo

2. Hii ndio awamu inayooongoza kwa vitendo vya kikandamizaji tena hawajali rejea mauaji ya Kibiti ama kupotea kwa watu mbalimbali yu wapi msaadizi wa Freeman Mbowe ndugu Ben Rabiu Saanane wapi alipo Simoni Kanguye wapi alipo Azori Gwanda haya yote yanaonesha jinsi awamu hii ilivyoshindwa kulinda ustawi wa jamii

3. Kushambuliwa kiongozi wa upinzani mh Tundu Athipas Lissu katikati ya vipindi vya bunge na kuvuliwa ubunge kinyume cha sheria na pia kukosa hata kumnyima stahiki yake ya matibabu

Yote kwa yote hiii ndio awamu imeshindwa kuajiri kwa miaka zaidi ya minne imeshindwa kupunguza tatizo la ajira imepelekea vijana wengi kushiriki betting kwa kikukosa ajira

Mwisho huu ni mwaka wa uchaguzi ni lazima umma tukarejeshe utu uwajibikaji wa umma na demokrasia ishamiri tena kupitia sanduku la kura hiii ndo fimbo ya mnyonge ya kutetea utu wetu

#stayhome
#tunatakatumehuru
[emoji111]️

Sent using Jamii Forums mobile app

Kosa kubwa ililofanya awamu hii ni kuacha majukumu ya msingi iliyochaguliwa nayo ya kushughulika na Shida za watz na kujitwika lisilohusika la kupambana na Mbowe,utadhani Mbowe ndio Shida za watz
 
Bado unaendelea kulamba miguu na makalio 2015 exchange rate ilikuwa kati ya 1650 mpaka 1700tzsh nenda kaulizie exchange rate leo au Ingia Google update jibu mpumbavu wewe usifananishe jamii forum na vijiwe vya kahawa ,mwanaharamu kabisa
Historical Rates for the USD/TZS currency conversion on 15 June 2015 (15/06/2015).
On the 15th June 2015 the spot inter-bank market saw:
Open: 1 USD = 2205.13 TZS

Close: 1 USD = 2208.47 TZS

Average: 1 USD = 2207.15 TZS

Lowest: 1 USD = 2206.4 TZS

Highest: 1 USD = 2207.9 TZS

Today's Live U.S. Dollar into Tanzanian Shilling Exchange Rate
Spot: 1 USD = 2,313.5000 TZS

Independent Provider: 1 USD = 2,297.3055

Avge. UK Bank International Payment: 1 USD = 2,222.8108 TZS

Find out More About Variable Rates >>
 
Haya yameshakuwa kama mapambio. Je jukwaani mtaongealea nini? Kwamba mnaweza kupewa dola? Na mkipewa mtajenga Sgr,Mradi kama JNHP, ubungo interchange Zahanati,Shule,mahospital n.k
Jiulizeni tu je mnaweza kuaminiwa na wananchi?
Mwenzeni miaka minne tu kaonyesha mambo makubwa.
Hata akitelemsha jua kama anaonea wachache ni kasoro kubwa, ni bora asiyefanya ila watu wakawa na huhakika na kesho yake,na uhuru, kuheshimiwa kuto onewa, watu udai uhuru ili tu wapate kujiamulia mambo yao kwa haki, sasa kama tumepata uhuru alafutu tunapigania haki ya kujiamulia mambo kwa haki hii si sawa
 
Ziko sababu lukuki za kuonesha namna awamu hii ilivyofeli

1. Ikumbukwe walipoingia madarakani walituaminisha masuala ya wafanyakazi hewa na wanafunzi hewa wakatuambia na kiasi walichookoa na wakaendelea kutuaminisha awamu zilizopita zilikusanya kidogo embu tuone kuna ukweli.

(A) Awamu iliyopita hawakuchukua vyanzo vyama halmashauri, kwa wa machinga pia hawakuchukua sekta binafsi ndio ilikuwa injini sasa awamu hiii imechukua vyanzo vyote vya halimashauri lakini inaongoza kwa kukopa tena nje ya utaratibu Leo tycoon akitaka hata ajengewe sanamu yake pale chamwino DODOMA hahitaji baraka za bunge

(B) Mahakama kuwa karibu na serikali hasa kwenye kesi zinazokiuka haki rejea kesi ya Godbless Lema kesi ya viongozi wa chadema ama kesi iliyosomwa jana ya Mike Mushi na Melo nyuma ya hizi hukumu kuna mkono shinikizi kupitia mfumo

2. Hii ndio awamu inayooongoza kwa vitendo vya kikandamizaji tena hawajali rejea mauaji ya Kibiti ama kupotea kwa watu mbalimbali yu wapi msaadizi wa Freeman Mbowe ndugu Ben Rabiu Saanane wapi alipo Simoni Kanguye wapi alipo Azori Gwanda haya yote yanaonesha jinsi awamu hii ilivyoshindwa kulinda ustawi wa jamii

3. Kushambuliwa kiongozi wa upinzani mh Tundu Athipas Lissu katikati ya vipindi vya bunge na kuvuliwa ubunge kinyume cha sheria na pia kukosa hata kumnyima stahiki yake ya matibabu

Yote kwa yote hiii ndio awamu imeshindwa kuajiri kwa miaka zaidi ya minne imeshindwa kupunguza tatizo la ajira imepelekea vijana wengi kushiriki betting kwa kikukosa ajira

Mwisho huu ni mwaka wa uchaguzi ni lazima umma tukarejeshe utu uwajibikaji wa umma na demokrasia ishamiri tena kupitia sanduku la kura hiii ndo fimbo ya mnyonge ya kutetea utu wetu

#stayhome
#tunatakatumehuru
[emoji111]️

Sent using Jamii Forums mobile app
Wazee walisema malipo ni hapahapa Duniani, tutahumia kwa kipindi lakini things willget better with time.
 
Ameanzisha mamiradi yanayoitwa WHITE ELEPHANT; ile SGR na Stiglers Gorge. Hii miradi inakula fedha nyingi, itachukua muda mrefu kukamilika na hawezi kuleta FAIDA hata ikikamilika.

Amehamishia Serikali Dodoma lakini muda wote viongozi wanaingoza wakitokea DSM. Wnakwendaga Dodoma karibu na kikao vya Bunge ili kuwatisha wabunge wa CCM kwenye party caucuss.

Awamu ya 5 imerudisha maendeleo nyuma kwa miaka 50 kama alivyosema Jenerali Ulimwengu. Tulikosea sana mwaka 2015, hasa KIKWETE kwa kumg'ang'ania BENARD MEMBE ndipo tukaangukia kwenye AJALI hii.
Biashara zinakufa kwakutumia sera za majukwaani huwezi kupanga namna ya kukuza biashara kwa sera za majukwaani na zile ambazo zinatumia sera mpya kwa sheria za zamani 'you can not plan a business growth with policy uncertanity '
 
Halafu wafanya biashara wakubwa aidha wanauliwa kama akina Ally Mufuruki na Salum Shamte, au wanasumbuliwa na kunyang'anywa mali zao kama Mohamed Dewji na Yusuf Manji. Uchumi inakuwaje hapo?
 
Halafu wafanya biashara wakubwa aidha wanauliwa kama akina Ally Mufuruki na Salum Shamte, au wanasumbuliwa na kunyang'anywa mali zao kama Mohamed Dewji na Yusuf Manji. Uchumi inakuwaje hapo?
Hapo ni tatizo kubwa sana ambalo linahitaji mjadala wa kitaifa kama huwa unakuwepo swali fikirishi nani atamfunga paka kengere?
 
Lack of sense? Yaani kisa amedhibiti wala rushwa na wabadhirifu? Kisa anajenga Sgr,Daraja la wami na busisi? Kisa amenunua ndege kwa hela cash Dremliner na midege ya Airbus. Kajenga hospital ,vituo vya afya na zahanati lukuki. Mlitaka raisi gani? Au ndio upungufu wa akili!
Vitu vidogo sana hivyo vinaweza Fanywa ma meya, vyote hivyo hakuna alilofanikisha kwa100%
 
Serikali hii ni bora ukifananisha na zilizopita lakini ukiweka vigezo vya serikali bora ni IPI basi jibu ni bado tunamadhaifu mengi
Taasisi zetu ni dhaifu
Bunge duni
Mahakama sio Hutu
Katiba tumeshindwa
Time ya uchaguzi isiyohuru
Elimu isiyobora
Kilimo chakubangaiza
Ufugaji na uvuvi wakizembe
Biashara zisizoenda kimataifa
Utawala usiozingatia utu
Mishahara isiyojali gharama zamaisha
Umoja na amani isiyoendelezwa nk.
Tumefanikiwa sana kwenye eneo limfurahishalo zaidi mkulu ambalo ni UJENZI UJENZI UJENZI kama lowassa alivyosema vipaumbele vyake ni ELIMU ELIMU ELIMU!!
 
Hili andiko la kipumbaf kabisa sijapata kuona..wananchi tunasemaa hata mfanyeje, whether awamu imeshindwa au imeshinda, whatever the case you may say, asilimia zaidi ya 90 ipo nyuma ya Magufuli na serikali yake .Tena Basi tunafikiria kumuongezea miaka zaidi ya kutawala hata akimaliza miaka yake mwingine mitano..Sasa Kama umekosa fursa ya hata kibarua nenda kalime jomba, ukishindwa zaidi Hama nchi..tafuta nchi ya kuishi maana kwa utawala huu utapata tabu Sana..mlishazoea madili, wizi, ufisadi Sasa mmekwama
Hata shetani ana wafuasi
 
Miaka mitano ni kidogo mno kumhukumu Raisi Magufuli
Sisi tulimwona Mwl.Nyerere,Mwinyi,Mkapa Kikwete hadi Magu.
Lakini Mwl.Nyerere Aliumiza watu wengi sana na sera ya vijiji vya ujamaa bila maandalizi iliyopelekea kushuka sana kwa mazao ya chakula kwa kipindi kirefu.
Watu waliburuzwa kutoka makazi yao wakarundikwa kama viazi bila nyumba wala chakula porini,wengine wakaliwa wanyama wakati.Nilitegemea kwa watawala waliopita kutuomba msamaha kwa hiyo sera mfu ya vijiji vya ujamaa.
Japo tulikuwa na ardhi yenye rutuba na ya kutosha lakini tuliishi kwa chakula cha msaada "Yanga" kwa kipindi kirefu hadi alipokuja Raisi Mwinyi na sera yake maarufu RUKSA.
Ukifanya tafiti ya hasara aliotuletea Nyerere kwa sera zake za kukurupuka wala Magufuli hawezi kamwe kumfikia.
Wengi wenu mlikuwa hamjazaliwa na uhuru wa kupata habari haukuwepo kama sasa.
Hata vita ya Kagera ilizaliwa kwa sababu ya urafiki wa watu wawili.Nyerere na Obote.Laiti Raisi Nyerere angesikiliza mawazo ya Majenerali wake na kuwa neutral kama Kenya,tungeepuka vita vya kibanda hasara,shilling yetu ingekuwa na nguvu sawa sawa kama ya Kenya.
Miaka mitano ? Hebu ona aibu mtu kazi imeshamshinda.
 
Biashara zinakufa kwakutumia sera za majukwaani huwezi kupanga namna ya kukuza biashara kwa sera za majukwaani na zile ambazo zinatumia sera mpya kwa sheria za zamani 'you can not plan a business growth with policy uncertanity '
That's rubbish..how many businesses have grown up during this period..plenty..how many new businesses have been erected..plenty..there's nothing like policy uncertainity. Many business owners have been avoiding Taxes, and thiss why they could not manage to be sustainable..we know the tricky behind and you know too..so stop this rubbish propaganda...
 
Back
Top Bottom