Ngaliba Dume
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 1,710
- 3,681
acha kuzungukazunguka sema ALI "RESEAT" BAADA YA KUPATA 4 YA 29.
Uongo wa karne...angekwenda boarding kwa qualification zipi?? Kusoma EGM kwa F ya Basic Mathematics?? Kwenda zako huko katafute wajinga wenzio hapa si mahala pake.
Hiyo imekaaje kaka, Butimba TTC ni Chuo Cha Ualimu, huwa wanafundisha na EGM, n.k? i had no idea about that
Mimi ni mwenyeji sana Mwanza, na ni mdau wa Elimu. Nakifahamu vema chuo cha Butimba TTC, hakina A level.Nahisi hujasoma,na kama umesoma ni katika ngazi ya chini sana(kama sivyo niwie radhi). Unapoona title au status ya shule/chuo sio lazima specifically iwe kinachofundishwa ni hicho unachoona kwenye title pekee,kwa mfano TTC sio lazima iwe ualimu pekee,kuna shule zinaitwa Technical school kwa mfano Moshi Technical,Tanga,lakini kuna wanafunzi wamesoma PCB katika shule hizi,hujaelewa nini.
Butimba Alevel?
noo majimaji ni kwenye history civics ni tanzania ilipata uhuru lini,rais wa kwanza? Muungano, rangi za bebdera ya taifa n.k
Nampenda nape lakini kwa f ya civics sitomsamehe? why lakini?
Mjinga yeye au wewe unayetudanganya kuwa kasoma EGM huku ana mswaki wa hesabu?? au ndo wale wale form four filure?? I doubt. Uwezo wako wa kudangganya mdogo sana..
Mkuu jielekeze kwenye Hoja ya msingi...BUTIMBA kuna EGM?Ilikuwaje EGM kwa matokeo ya D na F?
Mimi ni mwenyeji sana Mwanza, na ni mdau wa Elimu. Nakifahamu vema chuo cha Butimba TTC, hakina A level.
Tena kuna shule ya sekondari ya Butimba, nayo inaishia Form IV.
Hongera Nape kwa kuwaacha mbali KIELIMU viongozi waandamizi wa Chadema ambao ni: Mbowe (Form Six), Arfi (Standard Four), Mnyika (Form Six), Nyerere (Form Four), Mr 2 (Form Four)