KOMBAJR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 5,827
- 1,271
Ha!ha!ha! jamani mwenezi wa Magamba mtamuua na stress! Ila jamaa kaunga unga elimu yake haswa, hizo diploma za mafungu mafungu si mchezo.
Wamechukua muda kujibu ila bado walikuwa hawajaipangilia vizuri kidogo wadai ana Phd