Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Kwa hiyo sisi tunaosema kuwa Nape alisoma Chuo kikuu alipendelewa na aliziba nafasi za waliofaulu akachukukliwa yeye aliyefeli,huku maskini wenye akili ila hawana mtetezi wakiachwa nyumbani tupo sahihi?hata siku moja haijawahi kutokea matokeo ya sekondari katika CV. Wewe unapaswa kutambua Nape ana masters degree yatosha, wakati mwenezi wenu (Mnyika) ni form six
Hicho ndicho kinachotufanya maskini tuichukie CCM kwa sababu inaiba haki zetu huku tukiona.Anayefeli anapewa nafasi na anayefaulu anaachwa mtaani hii sio haki hata kidogo.
Hili lipo hata sasa watoto wa wakubwa wanapewa mikopo wa maskini waliofaulu hawapewi.