Tuanzie hapa form 4
NAPE NNAUYE
SEX M DIV IV PTS 29 KISW D HIST D GEOG D ENGL F B/MATH F BIOL D CHEM D PHY D CIV F
-----------------------
JOHN MNYIKA
SEX M DIV I PTS 7 PHY A CHEM A BIOL A CIV A ENGL A GEOG A HIST A B/MATH A KISW A B/KNOW A
acha kuzungukazunguka sema ALI "RESEAT" BAADA YA KUPATA 4 YA 29.
NB: Ndugu Nape Nnauye akiwa Kivukoni aliandika "thesis" iliyohusu ; VIKWAZO VINAVYOZUIA VIJANA KUSHIRIKI KATIKA SIASA. Na pia akiwa Mzumbe University aliandika kuhusu ; SABABU ZINAZOCHANGIA USHIRIKI WA WAPIGAKURA (ni ipi sababu ya kutojitokeza wapigakura siku ya Kura)
BUTIMBA TTC ni chuo cha ualimu lakini ni center ya kufanyia mitihani kwa wanafunzi ambao hawako mashuleni.,na hili ni kwa sababu Mheshimiwa Nape hakuwa ameendelea na sekondari kwa mtindo wa Boarding School.,kwa kuwa hakupenda kuendelea kukaa boardingi hivyo aliyasoma masomo yake ya high level akiwa nyumbani na kisha kwenda chuoni hapo kufanya mtihani wa form six.
Wote mnaofuatilia uzi huu.
1. Watetezi wote wa Nape Nnauye wanakwepa habari ya Elimu ya Sekondari ya Nnauye.
2. Kutokana na kukosa habari hizo kuhusu Nape Nnauye, tunapata mashaka kama Nape Nnauye alifuzu kweli kidato cha nne na cha sita.
3. Kukosekana kwa maelezo hayo, kunaleta mashaka ya 'namna alivyopata sifa za kuendelea na masomo'.
4. Hili linaleta suala la uaminifu wa kiongozi. Je alitumia mbinu halali? kama ndivyo aziweke wazi. Kama sivyo basi huyu si safi. Tena ni aina mbaya sana na kubwa sana ya ufisadi. Kiongozi kuudanganya umma kuhusu elimu yake
Mi napenda tu kufahamu je kuna DIPLOMA YA MWAKA MMOJA?KAMA NDIO JE CERTIFICATE NI MUDA GANI?
Tunaomba link ya matokeo ya Nsumba 1997.Matokeo ya Nape Nnauye ya Ordinary level secondary education ni Division TWO..,kwa anayetaka kujiridhisha anaweza ku-google mwenyewe NECTA matokeo ya Nsumba Secondary 1997. na hata kwa matokeo mengine pia ambayo Ni ya ndani ya Nchi na kuhusu matokeo ya chuo cha bangalore nayo yapo TCU.,ni jambo la kuuliza na kujibiwa.
mkuu uko juu sana hongera hawa pimbi lazima tuwanyoshe naelimu zao za kugushiHii CV inaonekana ni ya kulazimisha, hakuna ubishi!! Najua Nape kakutuma na sipendi kushindana na wewe ila kuna walakini kwenye maelezo yako!
Mfano, kati ya 1987 na 1989 Nape alianza drs la kwanza. Kwanini usiweke "exactly" mwaka alioanza hilo darasa??
Pili Butimba ni chuo cha ualimu, alisoma cheti au diploma? Kwa muda ulionyesha wa mwaka mmoja pale Butimba, jamaa atakua amesoma cheti na kwa mantiki hiyo matokeo yake ya form six hayakumruhusu kusoma diploma!!
Tatu, umesema alisoma diploma ya diplomasia pale Dar kuanzia 2002-2003, je kuna diploma ya mwaka mmoja?? (lazima amesoma certificate kwa kutumia matokeo ya form four)
My take:
Kwa maelezo yako, Nape ana elimu ya vyeti ila hajaelimika popote, na ndio maana uwezo wake upo chini sana! Nape kafika hapo alipo kutokana na kubebana kulikopo chani ya CCM. Wapo wengi tu kwenye idara nyeti za serikali ambao ni vilaza zaidi ya Nape.!
Kwa kuwa Nape ndie alieanzisha mjadala wa kuchokonoa elimu za watu; angetakiwa aje hapa jukwaani mwenyewe sio kukutuma wewe.
Hili linadhirisha jinsi alivyo kihiyo. Angemjibu Mnyika kwa hoja ingependeza sana! Nape hawezi kushindana na Mnyika hata kwa dawa!! To me Mnyika is the next level before Moses Nape. Huwezi kuwalinganisha hata kidogo. Simshabikii Mnyika, ila nimewa-evaluate wote ndo maana nikaja na hiyo observation.
Hahahahahahahahahahahahahahahahahah!
jana alikuwapo chama na ritz naona leo ni zamu yako mkuu! pambana!!
Nampenda nape lakini kwa f ya civics sitomsamehe? why lakini?