X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
enh kumbe...hadi gono lili mtesa ila mzee mwenzgu yote hayo umeyajuaje????????Kwenye sivii mbona hawajaeleza jinsi alivyoteswa na gono sugu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
enh kumbe...hadi gono lili mtesa ila mzee mwenzgu yote hayo umeyajuaje????????Kwenye sivii mbona hawajaeleza jinsi alivyoteswa na gono sugu?
Toa hapa takataka diploma gani hiyo inayotambulika ya mwaka mmoja??Kumekuwepo na habari ambayo inavumishwa katika mitandao ya kijamii hasa hapa Jamiiforums kuhusu Elimu ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikati na Uenezi, Ndugu Nape Moses Nnauye.
Taarifa hiyo kwa kiasi kikubwa inapotosha na kueleza yale ambayo si sahihi kuhusiana na CV ya Kiongozi huyo wa Chama cha Mapinduzi.
Kutokana na Hilo, nimeona ni jambo la busara kuwasaidia wanajamvi kwa kuwapa CV iliyo sahihi ya Nape Moses Nnauye kama ifuatavyo;
Kati ya mwaka 1987-1989 alianza elimu yake ya msingi katika shule ya Msingi Mwanga-iliyopo Iramba Singida (ambapo alianza darasa la 1 mpaka 3).
Mwaka 1989-1993 aliendelea na kumalizia elimu ya msingi katika shule ya Bukumbi iliyopo misungwi Mwanza.(ambako alikuwa ni kati ya wanafunzi watatu “3” kati ya 120 waliochaguliwa sekondari.
Mwaka 1994-1995 alianza elimu ya Sekondari katika shule ya kutwa ya Ngudu Sekondari.(ambapo alisoma kidato cha kwanza mpaka cha pili).
Mwaka 1995-1997 aliendelea na elimu ya sekondari katika shule ya Bweni ya Sekondari Nsumba iliyopo Mwanza (ambapo aliendelea kidato cha pili mpaka cha nne).
Mwaka 1998-2000 alisoma elimu ya juu ya sekondari (advanced level), mchepuo wa EGM na kuhitimu Butimba TTC.
Mwaka 2001-2002 alisoma Diploma ya sayansi ya jamii katika Chuo Cha sayansi ya Jamii-Kivukoni.
Mwaka 2002-2003 alisomea Diploma ya Diplomasia na uhusiano wa Kimataifa –Chuo cha Diplomasia Dar es salaam.
Mwaka 2005-2008 alisomea digrii ya Saikolojia, Lugha na Habari katika Chuo Kikuu cha Bangalore-India.
Mwaka 2009-2010 alisoma digrii ya pili ya utawala (Masters in Public Administration-MPA) katika chuo cha Mzumbe.
Thesis yake inawafaa wanafunzi wa Maters ya Political Science...TandaleOne Master of Business Administration na sababu zinazochangia ushiriki wa wapiga kura zina uhusiano gani? Angefanya "Reasons lead to poor performance of public corporations" hii kidogo ingelandana na hiyo master yake @Nnauye Jr
anasemwa bashite tu....labda kwa kuwa kumbukumbu zetu ni fupi sanaMbona hamsemi kuwa alifeli mtihani wa darasa la saba akanunua jina la mtu? Jina lake halisi shule ya msingi alikuwa anaitwa Nahum
Mkuu rudia tena kusoma huo uziTandaleOne Master of Business Administration na sababu zinazochangia ushiriki wa wapiga kura zina uhusiano gani? Angefanya "Reasons lead to poor performance of public corporations" hii kidogo ingelandana na hiyo master yake @Nnauye Jr
2pe matokeo yake ya olev na a level ili cv ikamilike
Bashite anatuhumiwa kughushi vyeti lakini kwa CV hiyo ya Nape haioneshi kwamba amegushi vyeti bali ameunga unga!! Kuunga unga sio dhambi na hata kama mtu amepata zero bado sio dhambi!!anasemwa bashite tu....labda kwa kuwa kumbukumbu zetu ni fupi sana
ya bashite si yalishatolewa??au...First come first served (FIFO) : tuone ya Albert kwanza
soma hii thread utapata majibu....ngoja tuwatoe ubwabwa wa shingo...Bashite anatuhumiwa kughushi vyeti lakini kwa CV hiyo ya Nape haioneshi kwamba amegushi vyeti bali ameunga unga!! Kuunga unga sio dhambi na hata kama mtu amepata zero bado sio dhambi!!
Unless kama una taarifa zingine zaidi ya hizi kinyume chake ni mambo mawili tofauti!! Hapa tunaweza kusema mmoja ni kilaza na mwingine ni kilaza na pia ni fraud! Na hilo la kuunga unga tukisema waliounga unga wote JF waondolewe kuna hatari nusu ya members wakaondoka!!!
msome @MUZEEZAIDI KWENYE Elimu ya Nape NnauyeWekeni na cv ya makond bsht
OvA