Hii ndio (CV) Wasifu ya Nape Moses Nnauye

Tanzania elimu yetu ya utata na ni ngumu kweli kwani hata ukiwa na PhD ya Harvard bado watataka uwaonyeshe cheti chako cha form four sasa sijui kiwasaidie nn, watanzania elimu yetu ngumu sana na bado ngumu, hata kama alipata zero kwenye elimu yetu mambo magumu sana kwani kuanzia kidato cha kwnza had I cja NNE mazingira yake no magumu mno na kila MTU anafahamu kuanzia lugha mpaka mazingira sio rafiki.
 
soma hii thread utapata majibu....ngoja tuwatoe ubwabwa wa shingo...

Elimu ya Nape Nnauye
Sijaona kipya kwenye hiyo thread zaidi ya kusema alifeli na kuunga unga!! Narudia, tuhuma dhidi ya Bashite sio kufeli na kuunga unga bali kufoji vyeti! Hali iliyopelekea kutoka jina la Daud Albert Bashite hadi Paul Christian Makonda!!

Anzia hapo kisha unipe thread husika!!
 
inaeleweka hivyo...sasa kuna wajanjawajanja waliopata nafasi kwa kuungaunga wanataka kujidai wao ndio wao....ilhali ni matapeli wale wale wa kielimu....kutumia jina la mtu kwa rika la kina nape lilikuwa jambo la kawaida sana...wengi sana wamefoji....
 
Sijaona kipya kwenye hiyo thread zaidi ya kusema alifeli na kuunga unga!! Narudia, hoja dhidi ya Bashite sio kufeli bali kufoji vyeti! Anzia hapo kisha unipe thread husika!!
umeisoma kwa papara irudie tena....hapo utaibuka na Jina la Nahum Moses Nauye vs Nape mkumbo...halafu utachanganya na za kwako
 
Geography "D", B/Math "F", halafu "A" level EGM. Labda hakusoma TZ[emoji28][emoji28], Baadaye vyuo vya siasa. Hivi kivukoni ni Higher learning institution? Vipi mkopo analipa?
 
Wabongo bana mkitaka kupekua hzo mambo....mtajikuta Hamna serikali...na wenye kupasi ni vilaza wa uongozi....
 
umeisoma kwa papara irudie tena....hapo utaibuka na Jina la Nahum Moses Nauye vs Nape mkumbo...halafu utachanganya na za kwako
Thread husika haijataja popote kwamba amefoji... sasa siwezi kupitia posts zooooooooooooote kutafuta ipi imesema suala la kufoji!! Weka hapa hiyo post na usiweke thread!!!

Kama unazungumzia post iliyosema "Nahum Moses Nnauye (Nape)" basi itakuwa kichekesho mtu kufoji jina la kwanza na kuacha mengine!! Manake unachosema ni sawa na kusema somewhere outta there kuna mtu anaitwa Nape Moses Nnauye lakini huyu Nahum XYZ baada ya kufeli akafoji na kujiita Nape Moses Nnauye! Au ni kama unataka kusema ana ndugu anaitwa ndie mwenye jina la Nape Nnauye ambalo Nahum alilichukua! Lakini hakuna popote paliposema hizo assumptions!!!

Weka hapa hiyo post or else usione taabu ku-admit tuhuma za Nape na Bashite ni tofauti! Wakati wote wanaonekana walikuwa vilaza lakini Bashite alifoji!!!!
 
WEKA VYETI VYAKE VYA SECONDARY TUANGALIE MATOKEA YAKE HALISI
 
Hana tofauti na ubashite na elimu take ya kuunga unga
 
Napata kichefuchefu kusoma matokeo ya nnepi kama ni kweli, "F" ya CIV, halafu mwanasiasa. Nahisi "shangwe" nikisoma ya Mnyika. Mzumbe university huwa wanapora cheti kama ulidanganya sifa za kuingilia.
 
Geography "D", B/Math "F", halafu "A" level EGM. Labda hakusoma TZ[emoji28][emoji28], Baadaye vyuo vya siasa. Hivi kivukoni ni Higher learning institution? Vipi mkopo analipa?
kuna maswali huwa hayajibiwi yanabakiaga hivyo hivyo ila yataendelea kuulizwa tu mpaka yatakapojibiwa.
 
Napata kichefuchefu kusoma matokeo ya nnepi kama ni kweli, "F" ya CIV, halafu mwanasiasa. Nahisi "shangwe" nikisoma ya Mnyika. Mzumbe university huwa wanapora cheti kama ulidanganya sifa za kuingilia.
mzumbe wakichukua cheti chao utasikia ooh ananyanyaswa ooh kwa nini sasa hivi na blah blah nyingine za namna hiyo.
 
Bashite shida co kupata zero,shida IPO hapo alipotumia cheti cha huyo makonda.
 
mkuu mimi nimekuletea thread uisoma na uijadili ..sitaki kukulazimisha uelewe....isome kwa kina...halafu muachie mwenye cv aclarify....kumbuka hii thread ni ya siku mingi humu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…