Future minister wa Magufuli
Mkuu tupe siri ya "uaguzi" wako huu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Future minister wa Magufuli
Butimba Alevel?
Atakuwa ali-reseat kwahiyo Butimba ilikuwa ni centre ya mtihaniMmmm, labda kakosea?
Wakati huo unataka kusema hapakuwa na shule za sekondari za Kutwa?BUTIMBA TTC ni chuo cha ualimu lakini ni center ya kufanyia mitihani kwa wanafunzi ambao hawako mashuleni.,na hili ni kwa sababu Mheshimiwa Nape hakuwa ameendelea na sekondari kwa mtindo wa Boarding School.,kwa kuwa hakupenda kuendelea kukaa boardingi hivyo aliyasoma masomo yake ya high level akiwa nyumbani na kisha kwenda chuoni hapo kufanya mtihani wa form six.
Butimba Alevel?
Mkuu umemaliza kazi...najiuliza hiyo EGM inayompokea mtu mwenye F ya Math ni ipi?Tuanzie hapa form 4
NAPE NNAUYE
SEX M DIV IV PTS 29 KISW D HIST D GEOG D ENGL F B/MATH F BIOL D CHEM D PHY D CIV F
-----------------------
JOHN MNYIKA
SEX M DIV I PTS 7 PHY A CHEM A BIOL A CIV A ENGL A GEOG A HIST A B/MATH A KISW A B/KNOW A
Agenda yetu kuu kwa NAPE ni kuhusu ufaulu wake na sio kasomea wapi au kasomea nini:
1. Tunaomba ufaulu wa matokeo yake (Kwa Sekondari pale Nsumba)
2. Ufaulu wake katika masomo ya EGM (Hapo Butimba)
yan shida ipo Butimba TTC kutoa combi ya EGM.....ttc its either teacher's collage or tecnical school.....sasa hii ya EGM ndo nin??...yan hapo ndo anapotuchanganya