Mkuu mbona hii IPO very complicated sana? Kwa mtanzamo wangu design ya mbezi ingeweza kuwa Bora,moja kwa kutokuchaza kifusi namna Ile ule upande wa kwenda kinyerezi ili kuifanya ile round about iwe bondeni kwa ajiri ya kuruhusu daraja kujengwa Moro road ili kufanya magari ya Moro road kupita juu ya daraja na yale ya kutoka goba to kinyerezi na kinyerezi to goba plus yake ya kutoka mjini kwenda goba kupita chini ya daraja( simple daraja Kama lile lililojengwa kwenye ule mto kabla ya parking ya malori)Kwanza
1. Kuna nafasi ya kutosha
2. Gharama yake ni ndogo
3. Inge wezesha magari kubadili njia kwa haraka na kuondoa foleni milele.
Ulinganisha na vituko vilivyo jengwa pale mbezi , kwa kweli Tanroads imezeeka.. na haina jipya. Daraja la ubungo lenyewe kama sio mchina kukataa design mliyomipitisha, mngetujengea kituo cha mwaka.View attachment 1477335
Mkuu mbona hii IPO very complicated sana? Kwa mtanzamo wangu design ya mbezi ingeweza kuwa Bora,moja kwa kutokuchaza kifusi namna Ile ule upande wa kwenda kinyerezi ili kuifanya ile round about iwe bondeni kwa ajiri ya kuruhusu daraja kujenga Moro road ili kufanya magari ya Moro road kupita juu ya daraja na yale ya kutoka goba to kinyerezi na kinyerezi goba plus yake ya kutoka mjini kwenda goba kupita chini ya daraja
Usijali pesa tunazo za kutosha kurekebisha miundo mbinu.wewe chapakazi kwa bidiiSio vizuri kujenga na kubomoa.. haya ni natokeo ya kuto tumia vizuri watalaam. Tunapoteza fedha nyingi sana kwa miradi ambayo haitatui kero.
Unaweza kutupatia wasifu wako kwenye Civil Engineering Design au kwenye mchepuko wa Highways design?Kwanza
1. Kuna nafasi ya kutosha
2. Gharama yake ni ndogo
3. Inge wezesha magari kubadili njia kwa haraka na kuondoa foleni milele.
Ulinganisha na vituko vilivyo jengwa pale mbezi , kwa kweli Tanroads imezeeka.. na haina jipya. Daraja la ubungo lenyewe kama sio mchina kukataa design mliyomipitisha, mngetujengea kituo cha mwaka.
View attachment 1477335
Proper planning is not our strongest suit. In 10 yrs or so the project will be obsolete.Kwanza
1. Kuna nafasi ya kutosha
2. Gharama yake ni ndogo
3. Inge wezesha magari kubadili njia kwa haraka na kuondoa foleni milele.
Ulinganisha na vituko vilivyo jengwa pale mbezi , kwa kweli Tanroads imezeeka.. na haina jipya. Daraja la ubungo lenyewe kama sio mchina kukataa design mliyomipitisha, mngetujengea kituo cha mwaka.
View attachment 1477335
Wapate wapi akili hizi ccm. Si unaona tu Ubungo palivyo hovyo utadhani chattle.Kwanza
1. Kuna nafasi ya kutosha
2. Gharama yake ni ndogo
3. Inge wezesha magari kubadili njia kwa haraka na kuondoa foleni milele.
Ulinganisha na vituko vilivyo jengwa pale mbezi , kwa kweli Tanroads imezeeka.. na haina jipya. Daraja la ubungo lenyewe kama sio mchina kukataa design mliyomipitisha, mngetujengea kituo cha mwaka.
View attachment 1477335
Usijali pesa tunazo za kutosha kurekebisha miundo mbinu.wewe chapakazi kwa bidii
Proper planning is not our strongest suit. In 10 yrs or so the project will be obsolete.
Kabisa..
Mbezi itakuja kusumbua sana.
1. Kituo cha mabasi mkoani
2. Tafiki kubwa toka pande 4
3. Masoko na biashara
4. Vituo vya daladala
Mbezi mwisho kama hawatafuta solution ya kudumu muda huu itakuja kuwa expensive saba baadae kurekebisha.
Niliacha hesabu na physics form II.
Hapo mwenyewe unajiona unatetea serikali.Kwa hiyo unaongelea majungu zaidi? Au hadithi za Abunuwasi na Bulicheka?