mr chopa
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 5,297
- 13,678
Hata ofisi hamjawahi kujenga unaokoteza picha mitandaoni unaleta Kama vile umeshawahi kubuni kitu! Hebu tuoneshe ulichojenga kijijini kwenu sigimbiKwanza
1. Kuna nafasi ya kutosha
2. Gharama yake ni ndogo
3. Inge wezesha magari kubadili njia kwa haraka na kuondoa foleni milele.
Ulinganisha na vituko vilivyo jengwa pale mbezi , kwa kweli Tanroads imezeeka.. na haina jipya. Daraja la ubungo lenyewe kama sio mchina kukataa design mliyomipitisha, mngetujengea kituo cha mwaka.
View attachment 1477335