BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Haina noma hiyo kaijenge kwako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi?Hapo mwenyewe unajiona unatetea serikali.
Hadi hapa, yeye ameonyesha mchango mkubwa zaidi katika eneo hili.Kwa hiyo unaongelea majungu zaidi? Au hadithi za Abunuwasi na Bulicheka?
Tuchambulie zaidi anayetoka wapi na kwenda wapi anapitajepitaje hapoKwanza
1. Kuna nafasi ya kutosha
2. Gharama yake ni ndogo
3. Inge wezesha magari kubadili njia kwa haraka na kuondoa foleni milele.
Ulinganisha na vituko vilivyo jengwa pale mbezi , kwa kweli Tanroads imezeeka.. na haina jipya. Daraja la ubungo lenyewe kama sio mchina kukataa design mliyomipitisha, mngetujengea kituo cha mwaka.
View attachment 1477335
Mkuu jamaa hajazungumzia ccm bali Tanzania
Mkuu sijasema daraja la juu,nimesema daraja Kama lile lilojengwa mtoni kabla ya parking ya maloriHiyo ya kupandisha juu njia nane ni gharama zaidi kuliko hio hapa.
😂😂😂😂Dizain ya makao makuu ya chadema
[emoji24][emoji1787]View attachment 1477422
Kwa madereva akiangalia tu hiyo view anaelewa kila kitu kwa kuwa hapo ni suala la sheria za barabara zinaongoza, kama sio dereva kidogo itakupa ugumu kuielewa.Tuchambulie zaidi anayetoka wapi na kwenda wapi anapitajepitaje hapo
Ataelewaje Ndugu yangu..kwani mchoro wenyewe inawezekana siyo wa mazingira ya miji yetu..Kwa madereva akiangalia tu hiyo view anaelewa kila kitu kwa kuwa hapo ni suala la sheria za barabara zinaongoza, kama sio dereva kidogo itakupa ugumu kuielewa.
Ataelewaje Ndugu yangu..kwani mchoro wenyewe inawezekana siyo wa mazingira ya miji yetu..
Ok thanksOk sawa, nilimaanisha kwa mtu anaye lifahamu eneo linalozungumziwa unaziangalia hizo main road 4 unaziweka kwenye uhalisia wa eneo husika kisha unaongeza hizo interchange kama ulivyo mchoro. Kama mtu halifahamu eneo husika na pia sio dereva(hajui taratibu za barabarani) hapo ndio mtihani. Ningekuwa nimetulia vzr ninge edit hiyo picha kuipa uhalisia ili uelewe vzr.
😀😆😀Dizain ya makao makuu ya chadema
[emoji24][emoji1787]View attachment 1477422
Acha ushamba..Copy na paste,duniani hakuna jipya tena.
Mkuu unataka kusema kile kilichofanyika mbezi kwa sasa ndo kimefanywa na qualified and competent Civil Engineers wa serikali hii? Au ile ni design ya mkemia?Unaweza kutupatia wasifu wako kwenye Civil Engineering Design au kwenye mchepuko wa Highways design?
Mkuu unataka kusema kile kilichofanyika mbezi kwa sasa ndo kimefanywa na qualified and competent Civil Engineers wa serikali hii? Au ile ni design ya mkemia?
Kabisa..
Mbezi itakuja kusumbua sana.
1. Kituo cha mabasi mkoani
2. Tafiki kubwa toka pande 4
3. Masoko na biashara
4. Vituo vya daladala
Mbezi mwisho kama hawatafuta solution ya kudumu muda huu itakuja kuwa expensive saba baadae kurekebisha.
Pale wameshachemka mkuu.mchemko ulianza baada ya kujaza kifusi upande ule wa kuelekea kinyerezi ili kujenge round about,Ile round about ilipaswa iwe bondeni ili kuruhusu kukatwa kwa barabara ya morogoro ili lijengwe Daraja Kama like lililojengwa mtoni kabla ya parking ya maloriMtoa maada Shukran kwa maoni yako, ila Design ya mbezi bado ipo kwenye mchakato ndio maana unaona katika zile barabara 8 pale pamerukwa,
Tusikimbilie kutoka kebehi mitandaoni pasipo kuuliza si vizuri,
Mradi ndio kwanza una asilimia 80 kwa mujibu wa waziri juzi kati hapa, hujuliulizi hizi asilimia 20 ni zipi hizo?
Kingine hizo junction ni Mega junction si ndogo kama unavyodhani wewe, Aaah natamani kuandika mengi hapa