Hii ndio design pekee ambayo ingemaliza tatizo la foleni Mbezi Mwisho

Tuchambulie zaidi anayetoka wapi na kwenda wapi anapitajepitaje hapo
 
Tutaijenga Mwanza au Dom hiyo...Nyie wa Dar tulieni mnataka kila kitu!
 
Tuchambulie zaidi anayetoka wapi na kwenda wapi anapitajepitaje hapo
Kwa madereva akiangalia tu hiyo view anaelewa kila kitu kwa kuwa hapo ni suala la sheria za barabara zinaongoza, kama sio dereva kidogo itakupa ugumu kuielewa.
 
Kwa madereva akiangalia tu hiyo view anaelewa kila kitu kwa kuwa hapo ni suala la sheria za barabara zinaongoza, kama sio dereva kidogo itakupa ugumu kuielewa.
Ataelewaje Ndugu yangu..kwani mchoro wenyewe inawezekana siyo wa mazingira ya miji yetu..
 
Ok sawa, nilimaanisha kwa mtu anaye lifahamu eneo linalozungumziwa unaziangalia hizo main road 4 unaziweka kwenye uhalisia wa eneo husika kisha unaongeza hizo interchange kama ulivyo mchoro. Kama mtu halifahamu eneo husika na pia sio dereva(hajui taratibu za barabarani) hapo ndio mtihani. Ningekuwa nimetulia vzr ninge edit hiyo picha kuipa uhalisia ili uelewe vzr.
Ataelewaje Ndugu yangu..kwani mchoro wenyewe inawezekana siyo wa mazingira ya miji yetu..
 
Ok thanks
 
Unaweza kutupatia wasifu wako kwenye Civil Engineering Design au kwenye mchepuko wa Highways design?
Mkuu unataka kusema kile kilichofanyika mbezi kwa sasa ndo kimefanywa na qualified and competent Civil Engineers wa serikali hii? Au ile ni design ya mkemia?
 
Mtoa maada Shukran kwa maoni yako, ila Design ya mbezi bado ipo kwenye mchakato ndio maana unaona katika zile barabara 8 pale pamerukwa,
Tusikimbilie kutoka kebehi mitandaoni pasipo kuuliza si vizuri,
Mradi ndio kwanza una asilimia 80 kwa mujibu wa waziri juzi kati hapa, hujuliulizi hizi asilimia 20 ni zipi hizo?
Kingine hizo junction ni Mega junction si ndogo kama unavyodhani wewe, Aaah natamani kuandika mengi hapa
 
Mkuu unataka kusema kile kilichofanyika mbezi kwa sasa ndo kimefanywa na qualified and competent Civil Engineers wa serikali hii? Au ile ni design ya mkemia?

Mbona unanilisha maneno ambayo mimi sijasema? Nimeuliza swali kama una jibu sema tu au hufahamu maana ya forum?
 
Plan ya pale ipo dada, stay humble
Kabisa..

Mbezi itakuja kusumbua sana.

1. Kituo cha mabasi mkoani
2. Tafiki kubwa toka pande 4
3. Masoko na biashara
4. Vituo vya daladala

Mbezi mwisho kama hawatafuta solution ya kudumu muda huu itakuja kuwa expensive saba baadae kurekebisha.
 
Pale wameshachemka mkuu.mchemko ulianza baada ya kujaza kifusi upande ule wa kuelekea kinyerezi ili kujenge round about,Ile round about ilipaswa iwe bondeni ili kuruhusu kukatwa kwa barabara ya morogoro ili lijengwe Daraja Kama like lililojengwa mtoni kabla ya parking ya malori
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…