Hata ofisi hamjawahi kujenga unaokoteza picha mitandaoni unaleta Kama vile umeshawahi kubuni kitu! Hebu tuoneshe ulichojenga kijijini kwenu sigimbiKwanza
1. Kuna nafasi ya kutosha
2. Gharama yake ni ndogo
3. Inge wezesha magari kubadili njia kwa haraka na kuondoa foleni milele.
Ulinganisha na vituko vilivyo jengwa pale mbezi , kwa kweli Tanroads imezeeka.. na haina jipya. Daraja la ubungo lenyewe kama sio mchina kukataa design mliyomipitisha, mngetujengea kituo cha mwaka.
View attachment 1477335
Nahisi bavicha kwa Sasa wanasumbuliwa na sonona
Mtoa maada Shukran kwa maoni yako, ila Design ya mbezi bado ipo kwenye mchakato ndio maana unaona katika zile barabara 8 pale pamerukwa,
Tusikimbilie kutoka kebehi mitandaoni pasipo kuuliza si vizuri,
Mradi ndio kwanza una asilimia 80 kwa mujibu wa waziri juzi kati hapa, hujuliulizi hizi asilimia 20 ni zipi hizo?
Kingine hizo junction ni Mega junction si ndogo kama unavyodhani wewe, Aaah natamani kuandika mengi hapa

Kuna mabati mabati, tope tope na tofalitofali tu
hii ni "misuse of resources" hasa ardhi. Pale mbezi ni Prime Area kuchukua eneo lote hili siyo sahihi. Vinginevyo, hayo maeneo yaliyo wazi kwenye makutano haya unieleze yatatumika kwa kazi ipi ya kiuchumi. Ukinieleza watasimika mitambo ya Nishati jadidifu kama PV panels, Wind turbines, nakadalika kwa uzalishaji wa nishati naweza kukuelewa.

Mwenzako kaniita chadomo, wewe unaniita matagaMataga bana.. issue serious huwa hamwezi kuchangia kabisa.
Wasingebadili mchoro, hata design y awali ilifaa na gharama ni ndogo zaidi. Tunaambiwa miundombinu ya bomba kubwa la maji toka ruvu ilikuwa kikwazo
View attachment 1477681
Iliyopo sasa wameweka taa hali awali ilitakiwa kuwa nz underpass kwa magari ya Morogoro.Design ya kwanza ilikua na mataa na sio hii.. labda kama wamebadili
Iliyopo sasa wameweka taa hali awali ilitakiwa kuwa nz underpass kwa magari ya Morogoro.
Ni kweli, lakini solution tunayotafuta inatakiwa iwe efficient na effective kukabili tatizo lakini cha msingi sana solution hiyo iwe economically viable kwa parameters zote.Hapa tunazungumzia kiundombinu ya barabara, haihitaji degree kujua umuhimu wa kutafuta solution ya magari pale mbezi.. kwa sasa tuu inachukua zaidi ya saa moja gari kutohoa mbezi..Je in 10 years miujdombiju hii inayo jengwa, bado itatufaa?
Huo mzigo tutauweza?Kwanza
1. Kuna nafasi ya kutosha
2. Gharama yake ni ndogo
3. Inge wezesha magari kubadili njia kwa haraka na kuondoa foleni milele.
Ulinganisha na vituko vilivyo jengwa pale mbezi , kwa kweli Tanroads imezeeka.. na haina jipya. Daraja la ubungo lenyewe kama sio mchina kukataa design mliyomipitisha, mngetujengea kituo cha mwaka.
View attachment 1477335
[/QUO
Huo mzigo tutauweza?