Nyie hamna nguvu, mlisusia Voda, ipo wapi, mkamsusia diamond 2015 alivyo imbia ccm, yupo wapi, you guys are vry few, ni mna makelele mengi tu.Hatupaswi kuwapigia kura wasanii wa Tanzania wala kwenda kwenye matamasha yao.Ccm wametesa na kuua watu kwa miaka mitano lkn,wasanii wameshindwa kuutumia umaarufu wao vzr matokeo yake wanakubali kuinamishwa na ccm!
Twende kazi.Muache unafki kama ndio harakati zenu mshambulie wasanii wote hadi akina Hbaba na pia msisahau kuacha kushabikia Simba sc maana hata bosi wenu alikuwa anamuunga mkono mgombea urais wa chama fulani. Nakumbusha kila mtu mumgomee na sio kuchagua sehemu za kufanyia harakati. MUACHE UNAFKI
Hakika.Huo ushauri muwashauri na wasanii wengine na sio kuchagua baadhi pili hata Mo alionesha kuunga juhudi basi itakuwa ni harakati kweli mkigomea kushabikia Simba sc na bidhaa zake lakini sio kufumbia vitu vingine.
Lini hiyo weka hapa hata commentspancho boy mbona wewe unatabia ya unafiki unafiki Sana wewe si ndio unaompondaga humu jamvini au teyali umeshajitoa akili?
Mwenye akili hawezi kuandika utumbo kama huu, hawa ni wasanii ni kazi kama kazi zingine hata wewe ukimwita atakuja anachotaka ni malipo Kwa kazi yake basi, kama mnatembeza kapu kwenye mikutano mtaweza kuwalipa wasanii, hivyo hayo yasiwatoke mmeshindwa wenyewe, kifupi wapo kazini na wanaingiza pesa, wewe baki nyuma ya keyboard kuwatuhumuHatupaswi kuwapigia kura wasanii wa Tanzania wala kwenda kwenye matamasha yao.Ccm wametesa na kuua watu kwa miaka mitano lkn,wasanii wameshindwa kuutumia umaarufu wao vzr matokeo yake wanakubali kuinamishwa na ccm!
Kwa hiyo na wao wakaandamane Nigeria? Maana huku kwetu hakuna maandamano ya vijana wala ya wazee.unachotakiwa kujua ni kwamba mashabiki wamegawanyika....si afya kwa upande wa wasanii wetu....celebrity anatakiwa kuwa mstari wa mbele kutetea haki za raia,unaweza kuuliza haki gani wamenyimwa watanzania? jibu lipo wazi kabisa labda ujitie upofu kwankuwa wewe ni chawa wa ccm.....angalia hapa chini wenzano huko NigeriaView attachment 1597698
Mwanaume kamili, binadamu mwenye akili timamu, mtu anayeitambua thamani yeke hawezi, tena hathubutu kuishabikia Ccm. Tunaiona kama jehanamuHuo ushauri muwashauri na wasanii wengine na sio kuchagua baadhi pili hata Mo alionesha kuunga juhudi basi itakuwa ni harakati kweli mkigomea kushabikia Simba sc na bidhaa zake lakini sio kufumbia vitu vingine.
we piga lakini hawatashinda ni kenya uganda na nigeria tuNitawapigia kura wasanii wote wa Tanzania na hakuna ki2 mtanifanya
Kuna watu wanafkr Tanzania nzima wao ndio wana smartphone peke yao[emoji16]Mimi sio mfata mkumboView attachment 1598482
Wapigieni sasa halafu tuone kama watashinda hao wasanii uchwara.Kuna watu wanafkr Tanzania nzima wao ndio wana smartphone peke yao[emoji16]
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Sawa tusubr matokeo...si nchi nzima wenye smartphone ni nyie tu[emoji3]Wapigieni sasa halafu tuone kama watashinda hao wasanii uchwara.
Hahahahahahahahah Hakuna kitu cha kusubiri hapo,Tanzania hakuna msanii wa kushinda Grammy Acha kujidanganya,Ushinde Grammy kwa kuimba Litawachoma,Cheche sijui JEJE labda hizo Grammy ziwe zimeandaliwa na Polepole au Uvccm.Sawa tusubr matokeo...si nchi nzima wenye smartphone ni nyie tu[emoji3]
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Umemaliza brotherTrust me hao ni fan wa upande wa pili...mim siwez mchukia lets say Kiba kisa ccm...kuna maisha ni personal atajua yeye mwenyew msanii...
Na wasanii sio kama wanpenda...Ukileta kiburi jamaa wanakula sahani moja naww kuptia basata na tcra...Mda msanii anafungiwa Shabiki upo zako geto umelala...tusifanye kama hatuijui hii bongo yetu...
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Hivi hakuna option ya namna ya kupunguza kura zake? Maana kutokumpigia kura tu na hakutoshi, inabidi kuwe na namna ya kupunguza kura zake kama vile kulivyo na option ya kulike au kudislike video youtubeHii iwe fundisho kwa wasanii wote,mmejinasibisha mko upande gani badala ya kuwa neutral basi waombeni kura wanachama wenzenu.
View attachment 1597596View attachment 1597599View attachment 1597601View attachment 1597598View attachment 1597598
Heeeee hii kali sasaMsichoelewa ni kwamba hizo kura hazipigwi na wananchi mnajichosha bure
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
🗯Kwa hiyo na wao wakaandamane Nigeria? Maana huku kwetu hakuna maandamano ya vijana wala ya wazee.