Hii ndio gari KABAMBE atakayopewa Mshindi wa shindano la urembo MISS LAKE ZONE

 wangeipitisha kwanza car wash 😀😀
 
Ila haya mashindano ya Walimbwende hasa hapa Nchini ni ya kudhalilisha tu, Hivi hako ka Pasi ka umeme ndiko anapewa mshindi kweli?
 
Mbona naona kama ni zawadi isiyofaa. Gari aina gani hiyo. Kwa nini wasingempa RAVA4?
 
Mungu anawaona nyie mnaoandaa hilo shindano si heri hata mngempa tu toyo akafanie kazi ya bodaboda.....nilikuwa nimepanga kuhudhuria lakin siwezi kwenda kushuhudia mlimbwende wa kanda ya sato na sangara akipewa kimotokaa kama hicho...........
 
Gari
gari tu tofauti na wanaopanda daradara acheni kuponda kitu
Daradara! Daladala inapendeza zaidi. Swala si utofauti Ila unapoamua kutoa zawadi usiokote kitu na kukitoa kama zawadi, siku zote zawadi ni kitu kipya.
 
Hahaha, asee nimecheka sana,hivi Dada Basila au Da Pamela, hawapo humu ,waone haya maoni? Jamani mwanzo mgumu ,[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…