Mshuza2
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 11,261
- 17,202
Yeah..dizain imerudiwa rangi! Ila hawa jamaa bwana..yaani magari yote hayo tena bei chee wanatoa Zawadi hii..Hii ni namba A iliyorudiwa rangi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah..dizain imerudiwa rangi! Ila hawa jamaa bwana..yaani magari yote hayo tena bei chee wanatoa Zawadi hii..Hii ni namba A iliyorudiwa rangi.
Halafu tairi zake ni wireless na ni retradable![]()
Rim zake si za nchi hii.
Kaka niko Miono siku hiziHalafu tairi zake ni wireless na ni retradable
Hapo ndio imepigwa hadi wax wangeipitisha kwanza car wash 😀😀
Hapo ndio imepigwa hadi wax wangeipitisha kwanza car wash 😀😀
Duu kwema naaminiKaka niko Miono siku hizi
Ukipata pesa zako usije kununua kama hilo.Mbona naona kama ni zawadi isiyofaa. Gari aina gani hiyo. Kwa nini wasingempa RAVA4?
Viongozi vyetu havitoshi?msiishie kulaumu tu, jitoeni mkawasapoti dada zenu.
Daradara! Daladala inapendeza zaidi. Swala si utofauti Ila unapoamua kutoa zawadi usiokote kitu na kukitoa kama zawadi, siku zote zawadi ni kitu kipya.Gari
gari tu tofauti na wanaopanda daradara acheni kuponda kitu
Matairi ndio yameagizwa yakifika yatafungwa mkuu, hapo wameweka hizo ili lifike eneo LA tukio.Hizo zote 4 ni spea tairi, kwanini wasiweke matairi ya hilo gari???