Hii ndio gari KABAMBE atakayopewa Mshindi wa shindano la urembo MISS LAKE ZONE

Jamani mbona kama gari ya Mr Bean au anewauzia!!
Imetulia sana na sports rim zake.Wasukuma mmetisha!
 
Lakin jaman enyi wana JF...basi wakati mnaleta hizi habari muwe mna weka hints kidog habari kama hizi wengine tuaifungue manake unajikuta umepasuka hata pale ambapo hapastahili hahaha....
 
Lakin jaman enyi wana JF...basi wakati mnaleta hizi habari muwe mna weka hints kidog habari kama hizi wengine tuaifungue manake unajikuta umepasuka hata pale ambapo hapastahili hahaha....
Hahahahahahaa utaniuwa [emoji23][emoji23][emoji23]🤣🤣🤣🤣[emoji23]🤣🤣🤣
 
kwa dar mtu anakula uroda one time na hiyo gari bebez anaondoka nayo. sasa mudawote huo mtu anapoteza kujiremba na kubadiri sauti kisa passo bora adandie zakariia ajetauni akutane na zakari mwenyewe kisha akamate funguo atembelee matako
 
Vyuma vimekaza mjue, mnataka tumzawadie prado mtamwekea wese?
 
Hahahahaah Wee jamaa ulivyo na dhihaka nilivyoona title tu nkajua ndani Hamna kitu.......hako kagari kama kakabati ka vyombo aisee ni udhalilishaji!!!!!!
 

Rim zake si za nchi hii.
Mamiss wenyewe wamechoka kwa kupanda bodaboda hata mtu akishinda na kupata hicho kipaso cha piston 3 chenye mtetemo kama powertiller atashukuru.
 
Hizo rims tu ni mln 10 mzee baba teh teh huoni kama ni chrome hizo

Ova
 
Dah wadada wanatia huruma jamaaaani

[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…