Hii ndio hali ya Bumbuli ambayo Mbunge wake ni Waziri wa Mambo ya nje ya Nchi

Mbunge na pia waziri bumbuli ni ya kipuuuzi namna hiyo? Halafu anataka urais! Tz iwe kama bumbuli?
 
Tokea 2013 najua ni wilaya ambayo mwaka 2012 wilaya ya kilindi ilimegwa kutoka handeni

Ukikosea kubali sasa wewe hutaki kukubali kwamba bumbuli ni wilaya yaani unabishana na mpaka wizara ya tamisemi
Bumbuli siyo Wilaya bali ni Halmashauri iliyoko ndani ya Wilaya ya Lushoto
 
Ila jengo la utawala la Bumbuli DC limenishangaza.

Nilijua ramani ni moja tu kwa sasa kwa majengo yote ya utawala ya Halmashauri yanayojengwa.

 
Good analysis. Kweli ulifika.
Nina mengi ya kuandika ila acha nifiche utambulisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…