Hii ndio hali ya Bumbuli ambayo Mbunge wake ni Waziri wa Mambo ya nje ya Nchi

Hii ndio hali ya Bumbuli ambayo Mbunge wake ni Waziri wa Mambo ya nje ya Nchi

Ni kwa ushahidi upi unaothibitisha picha hiyo ya magari na barabara ni ya Bumbuli na ni ya mwaka huu? Kwani mara ngapi wewe tumekuona na kushuhudia ukibandika picha za zamani na zenye lengo la kudhalilisha watu?
 
yuko busy kumsafirisha raisi nje kwa waislamu for his own selfish interest, western countries hatakiwi na wala haalikwi popote, angalau wakati wa Mulamula walikuwa wanaalikwa western countries sasa lkn sasa hivi ni mwendo wa uturuki au irani …
 
Kati ya Viongozi ambao, Watu hawajui au wamechelewa kujua alivyombabaishaji basi Ni Makamba Jr..
Huyu jamaa kipindi watu wanamtukuza, watu wa Bumbuli hata wazee waliojichokea, huwezi mwambia kuhusu huyu jamaa wakakuelewa, Kiufupi hamna mzigo, hakuna alichofanya kule kwaoo,

Kule hua watu wanajiulizaga, huyu ana nini huko kitaifa kinamfanya akubalikee?, kwa sababu hawana experience yoyote ya maendeleo aliyowaletea ya kujivunia, atasubiri Uchaguzi, aende Maweni pale akamwage Pesa..

Na Bado hamjamjua Makamba Vzr, waulizeni watu wa Bumbuli.
 
🤔°°°°°°°°°°°°°°π(CHADEMA)* (Mwakala wa Mabeberu)=😌

Siku zote Tanzania itajengwa na Watanzania wenyewe.
 
Ni kwa ushahidi upi unaothibitisha picha hiyo ya magari na barabara ni ya Bumbuli na ni ya mwaka huu? Kwani mara ngapi wewe tumekuona na kushuhudia ukibandika picha za zamani na zenye lengo la kudhalilisha watu?
Dawa ni wewe kutuwekea mkeka wa lami Bumbuli ili tunyamaze na tufunge mdomo , halafu kingine ni hiki , taarifa za Bumbuli siyo mali ya January wala si mali ya ccm na wala siyo mali yako wewe

Uliandika kuhusu Lissu kuhama Chadema huku ukijua umezusha tena bila hata kielelezo , uliona tukipayuka ? tulikupuuza mara moja kwa sababu tunajua wewe ni mjinga
 
Dawa ni wewe kutuwekea mkeka wa lami Bumbuli , halafu kingine ni hiki , taarifa za Bumbuli siyo mali ya January wala si mali ya ccm.

Uliandika kuhusu Lissu kuhama Chadema huku ukijua umezusha tena bila hata kielelezo , uliona tukipayuka ? tulikupuuza mara moja kwa sababu tunajua wewe ni mjinga
Acha porojo .weka ushahidi kuwa hiyo ni barabara ya Bumbuli.maana wewe kwa uongo na kubandika picha za kuokoteza unapenda sana .
 
Tukisema tuandamane Jimbo la Bumbuli, tunapitia wapi sasa,

Ukute kipara anafanya kusudi Ili asifikiwe na nguvu ya mabadiliko 😀
Ameandamana Mbowe jana, ukafika wakati wa kuuza sera, akaanza kuwachonganisha Watanzania na Wachina-Kwa sababu ya barabara kama hiyo ya Bumbuli?

Kaongea Sifuri nyingi sana hata Kompyuta zisiweze kutarakilisha! Noma sana

...labda, CHADEMA wajenge Barabara zao 2050 ndio CCM waje waandamane.
 
CCM haijawahi kumiliki ofisi,imepora,

Itawezaje kujenga barabara kweli?
 
Mara baada ya kuchaguliwa kuwa mbunge Mheshimiwa January Makamba aliweka utaratibu wa wana Bumbuli kutoa kero zao

View attachment 2972079

Lakini pamoja na kero hizo kutumwa hali ndio kama mnavyoona .

View attachment 2972080

Jambo la Muhimu ambalo hupaswi kusahau ni kwamba , January Makamba alipita bila kupingwa
Kwanza hizo mvua zinazo watandikeni huo kuanza kutupiana lawama za ubovu wa barabara itakuwa ni kuamua kuwa wachawi kwa hiari
 
Mkuu tembelea Namibia [emoji1176] na Botswana [emoji1052] kupo super,A3 yao ni super pamoja kuwa inapita kwenye national park (more than 300km za mbugani tu),pale mikumi national park (50km kuna matuta yasiyopungua 40!!na wanaopita pale hasa usiku pls guys kuwa careful,kuna handaki pale linaumiza magari kila siku ,lipo pale getini ukitokea Duma,ni hatari mno)
Kuanzia kazungula, pandamatenga, ngwasha, nata, francis town, palapye, mahalapye, Gaborone, A3 ni super road, kwakweli, Namibia kupitia katima mulilo boda, ni super. Na ni landlocked countries. Sijui tumelogwa wapi Watanzania. Dah inauma sana.
 
Ni shida mkuu,na barabara hiyo kuanzia kazungula OSBP hadi Nata ni national park (more than 300km)hukuti matuta ya ajabu,kwetu pale mikumi national park (50km ni vurugu tupu na kwa sasa magari kibao yanapata pacha kwenye like handaki)siku V8 ya wateule itakapoumia pale ndio watakurupuka kuitengeneza
 
Maendeleo ya eneo lolote hufanywa na wakazi husika kutokana na fikra na vitendo vyao katika shughuli za kiuchumi (mbunge ni mwananchi anayewakilisha maoni na kero zao bungeni, ili serikali ipate taarifa ikatatue, hasa kwa zile huduma muhimu kama elimu, afya, barabara, maji, ....).
Hata hivyo, wananchi wanaweza kuiwajibisha serikali kwa kuiondoa madarakani (kupitia kura au njia nyingine halali), pale wanapoona haifanyi kulingana na matakwa au mategemeo yao.
Hao wakazi ndio wanaojenga Barabara? Au Serikali huweka miundombinu ili kuchochea maendeleo?
 
Lushoto ilitakiwa iwe ni Switzerland 🇨🇭 ya Tanzania,nilibahatika kufika kule last December,Mwenyezi Mungu kawapa super wilaya ila wale wabunge wake 3 ni zeros kabisa,yaani hawawezi kujenga hata ile barabara ya mombo to mlalo,yaani barabara ipo vile vile alivyoiacha mjerumani,ilitakiwa ile pass ilambwe vema,jenga cable cars kutoka kule milimani hadi barabara kuu ya Moshi,jenga virukio vya maparachuti,yaani hizi ni vyanzo vya usd tu,vijana wake wamekua vibarua na maisha yao wamejikatia tamaa
Mkuu you are missing the point, si wajibu au jukumu la mbunge kujenga barabara au kupeleka maendeleo jimboni kwake.

Kukukumbusha tu, mbunge huwakilisha maoni ya wanajimbo lake bungeni, kujadili na kupitisha bajeti ya serikali, kutunga sheria na kuisimamia serikali.

Ni kazi ya serikali kupeleka maendeleo majimboni maana ndio wanaokusanya kodi. Kimsingi wakuulizwa ni Mkuu wa wa wilaya, Mkurugenzi, Mkuu wa mkoa, katibu mkuu, Waziri na raisi.
 
Mkuu you are missing the point, si wajibu au jukumu la mbunge kujenga barabara au kupeleka maendeleo jimboni kwake.

Kukumbusha tu, mbunge huwakilisha maoni ya wanajimbo lake bungeni, kujadili na kupitisha bajeti ya serikali, kutunga sheria na kuisimamia serikali.

Ni kazi ya serikali kupeleka maendeleo majimbo maana ndio wanaokusanya kodi. Kimsingi wakuulizwa ni Mkuu wa wa wilaya, Mkurugenzi, Mkuu wa mkoa, katibu mkuu, Waziri na raisi.
😆😆😆😆
 
Back
Top Bottom