Hii ndio hatari na tishio linalotokana na changamoto ya upumuaji

Hii ndio hatari na tishio linalotokana na changamoto ya upumuaji

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
By Boniface Jacob kupitia Twitter:

Tumuombe Sana Mungu Ndugu zangu,Wiki hii nimeona Mambo ya Kutisha.

Sikuwahi Kujua Ipo Siku sisi Binadamu tutagombea "Oxygen" wenyewe kwa Wenyewe INATISHA.

Mbaya Zaidi unakuwa Upo Tayari Kumpandia "Dau" Mgonjwa asiye wako anyofolewe kwenye "Oxygen" ili awekwe Ndugu yako.UBINAFSI
 
Mimi nadhani ni vizuri zaidi kama watu wakajikita katika kutoa elimu ya jinsi ya kujikinga na gonjwa hili kuliko kutangaza vifo vya watu wa familia zingine, sijasema kutangaza vifo vya familia zingine haifai au inafaa ila elimu ya kujikinga na gonjwa hili ni muhimu zaidi.

Kama inawezekaza basi Mods wangeweka thd ya namna hiyo kama sticky thd.
 
Mimi nadhani ni vizuri zaidi kama watu wakajikita katika kutoa elimu ya jinsi ya kujikinga na gonjwa hili kiliko kutangaza vifo vya watu wa familia zingine,sijasema kutangaza vifovya familia zingine haifai au inafaa ila elimu ya kujikinga na gonjwa hili ni muhimu zaidi,

Kama inawezekaza basi Mods wangeweka thd ya namna hiyo kama sticky thd.

Taratibu ni zile zile Mkuu.

1. Kuvaa barakoa
2.Kutumia "SANTAIZA".
3.Kunawa Mikono na maji tiririka na sabuni.
4.Social Distancing.
5.Kama hakuna ulazima wa kutoka basi ni bora utulie nyumbani.
6.Kufanya Mazoezi.
7.Kula vyakula vya kuongeza kinga za mwili.
 
Mimi nadhani ni vizuri zaidi kama watu wakajikita katika kutoa elimu ya jinsi ya kujikinga na gonjwa hili kiliko kutangaza vifo vya watu wa familia zingine,sijasema kutangaza vifovya familia zingine haifai au inafaa ila elimu ya kujikinga na gonjwa hili ni muhimu zaidi,

Kama inawezekaza basi Mods wangeweka thd ya namna hiyo kama sticky thd.
The only thing that will save lives from this disease is to stick our asses at home. But the problem comes Black asses are not adhesive at all!
 
By Boniface Jacob kupitia Twitter:

Tumuombe Sana Mungu Ndugu zangu,Wiki hii nimeona Mambo ya Kutisha.

Sikuwahi Kujua Ipo Siku Sisi Binadamu tutagombea "Oxygen" wenyewe kwa Wenyewe INATISHA

Mbaya Zaidi unakuwa Upo Tayari Kumpandia "Dau" Mgonjwa asiye wako anyofolewe kwenye "Oxygen" ili awekwe Ndugu yako.UBINAFSI
Kumbe akili imeanza kuwajia kwamba changamoto ya upumuaji inatakiwa Mungu mwenyewe aingilie katiii??.
 
Mimi nadhani ni vizuri zaidi kama watu wakajikita katika kutoa elimu ya jinsi ya kujikinga na gonjwa hili kuliko kutangaza vifo vya watu wa familia zingine,sijasema kutangaza vifo vya familia zingine haifai au inafaa ila elimu ya kujikinga na gonjwa hili ni muhimu zaidi,

Kama inawezekaza basi Mods wangeweka thd ya namna hiyo kama sticky thd.
Uruhusiwi kusema ukweli, Nchi yetu ya chama kimoja haina Corona.
Itamponza Melo na JamiiForums ifutwe kabisa.
Acha tufe na changamoto za upumuaji, Watakao baki watasimulia huu Utawala wa kipumbavu.

LITAKE LISITAKE milele daima... Si ndio bandugu?!
 
Back
Top Bottom