Hii ndio hatari na tishio linalotokana na changamoto ya upumuaji

Mzee Ntagazwa alikosa kitanda Regency
Arusha kuna mgonjwa wetu alizunguka hospitali zote zenye huduma ya oxygen zikawa zimejaa wagonjwa. Kilichotokea ni kumpoteza.. Leo Katibu Mkuu afya ana pita mikoani kuhadaa kwamba wodi za upasuaji ndizo zina wagonjwa wengi na sio shida ya kupumua. Ni aibu!!!! /hivi hawa Wasukuma wana waonaje Watanzania? Wana mfurahisha nani? Wakati watu wana kufa??
 
Tuombe Mungu sana
 
Mimi nadhani ni vizuri zaidi kama watu wakajikita katika kutoa elimu ya jinsi ya kujikinga na gonjwa hili kuliko kutangaza vifo vya watu wa familia zingine,sijasema kutangaza vifo vya familia zingine haifai au inafaa ila elimu ya kujikinga na gonjwa hili ni muhimu zaidi,

Kama inawezekaza basi Mods wangeweka thd ya namna hiyo kama sticky thd.
A za weeeee sisi tutasoma
 
By Boniface Jacob kupitia Twitter:

Tumuombe Sana Mungu Ndugu zangu,Wiki hii nimeona Mambo ya Kutisha.

Sikuwahi Kujua Ipo Siku Sisi Binadamu tutagombea "Oxygen" wenyewe kwa Wenyewe INATISHA

Mbaya Zaidi unakuwa Upo Tayari Kumpandia "Dau" Mgonjwa asiye wako anyofolewe kwenye "Oxygen" ili awekwe Ndugu yako.UBINAFSI
Kule italy,,kuna padri alikuwa kwenye ventilator,,akamwona kijana mmoja kaletwa yuko hoi,amekosa ventilator,,padri ilibii aombe wamtoe kwenye mashine,wamwekee kijana,,juu yeye ameshaishi miaka mingi,akaona bora kijana apate fighting chance kuliko kumuacha afe angali bado mdogo,
Padri akafa
 
Mimi nadhani ni vizuri zaidi kama watu wakajikita katika kutoa elimu ya jinsi ya kujikinga na gonjwa hili kuliko kutangaza vifo vya watu wa familia zingine,sijasema kutangaza vifo vya familia zingine haifai au inafaa ila elimu ya kujikinga na gonjwa hili ni muhimu zaidi,

Kama inawezekaza basi Mods wangeweka thd ya namna hiyo kama sticky thd.
Na ambao hawako jf?

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Haya mambo mimi nimejionea mwenyewe yaani sio kuambiwa, kaka alikosa mashine tukaambiwa masine iko moja na ina mtu kama tuna hela kidogo tutoe jamaa anyofolewe nilishindwa tukapambana kumuomba mungu tu wakaja kumwekea usiku saa nane asubuhi saa moja kaka yangu akafariki ....sitasahahau hii changamoto ya upumuaji imemuondoa mtu aliyekuwa nguzo kwangu
 
Pole sana. Mungu awapeni nguvu.
 
Mkuu ukijua idadi ya watu waliokufa kwa changamoto hiyo Mlandizi Pwani huwezi amini, then anakuja mtu anasema hakuna corona Tz.
 
Mimi nadhani ni vizuri zaidi kama watu wakajikita katika kutoa elimu ya jinsi ya kujikinga na gonjwa hili kuliko kutangaza vifo vya watu wa familia zingine,sijasema kutangaza vifo vya familia zingine haifai au inafaa ila elimu ya kujikinga na gonjwa hili ni muhimu zaidi,

Kama inawezekaza basi Mods wangeweka thd ya namna hiyo kama sticky thd.
Wewe unaendeleza yaleyale ya kuwaweka waTanzania gizani.
Kwa nini huhimizi watu wapimwe na pawe na takwimu kuhusu huu ugonjwa wa mlipuko, ikiwa kama sehemu ya kampeni ya kuelimisha na kujikinga!

Huko kuficha kunamsaidia nani, huyo aliyekana uwepo wa ugonjwa?
 
Serikali inayokaa kimya watu wakiangamia inakosa utu. Kwa sasa baba anaweza kurudi nyumbani na ugonjwa akitokea safari ya mbali lakini kwa vile hakuna anayepima huyo naye anasambaza kwa familia nzima. Tukio la Profesa wa SUA mmeliona jinsi familia ilivyoteketea kwa Kutojua nani anao.
Mwaka Jana Waziri Majaliwa alizindua kampeni ya kupima Ukimwi wenye nao wajijue waweze kuwakinga wasio nao.
Leo upimaji corona unazuiwa ili asijulikane nani anao nani hana, kama siyo njama za kutaka watu wafe kwa wingi ni nini?
 
Wiki hii nimeona Mambo ya Kutisha.

Sikuwahi Kujua Ipo Siku Sisi Binadamu tutagombea "Oxygen" wenyewe kwa Wenyewe INATISHA

Mbaya Zaidi unakuwa Upo Tayari Kumpandia "Dau" Mgonjwa asiye wako anyofolewe kwenye "Oxygen" ili awekwe Ndugu yako.UBINAFSI
Wachangiaji hawayatilii maana maneno haya mazito sana.
Wale "mabeberu" (ubalozi wa Marekani); wanaposema kwamba huduma zetu (hospitali) zitalemewa kama mlipuko utatokea, hiki ndicho hasa wanachokizungumzia.
 
Back
Top Bottom