KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Hapo mwisho pamenifanya nicheke!Kule italy,,kuna padri alikuwa kwenye ventilator,,akamwona kijana mmoja kaletwa yuko hoi,amekosa ventilator,,padri ilibii aombe wamtoe kwenye mashine,wamwekee kijana,,juu yeye ameshaishi miaka mingi,akaona bora kijana apate fighting chance kuliko kumuacha afe angali bado mdogo,
Padri akafa
Najua ni kweli, lakini inasomeka kama 'stori' ya kijiweni hivi!