macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Umsema kweli. Mimi nilikuwa nasema hata mwaka jana ule mlipuko wa kwanza walifariki watu wengi kabisa lakini kuna watu walikuwa wanabisha hapa. Huenda hata wengien wamekuja kupoteza watu wao kwa ubishi wao wa kijinga.Takwimu zingesaidia sana watu kuona ukubwa na uzito wa tatizo. Hakika mtu aliyezuia upimaji na utoaji wa takwimu ni muuji kama corona yenyewe.
Tungekuwa tumekubali ukweli wa pigo la mwaka jana basi mwaka huu tungekuwa tumejifunza kitu. Badala yake mjinga mmoja akasema corona imeshaondoka kwa maombi.