Hii ndio hatari na tishio linalotokana na changamoto ya upumuaji

Hii ndio hatari na tishio linalotokana na changamoto ya upumuaji

Na bado watasema "serikali ya awamu ya 5 ya nani nani sijui imefanya makubwa,haijawahi kutokea!". Ila upande mwingine ni sawa kwani haijawahi kutokea "kunyang'anyana" vifaa tiba/huduma. Mitano tena!
 
By Boniface Jacob kupitia Twitter:

Tumuombe Sana Mungu Ndugu zangu,Wiki hii nimeona Mambo ya Kutisha.

Sikuwahi Kujua Ipo Siku sisi Binadamu tutagombea "Oxygen" wenyewe kwa Wenyewe INATISHA.

Mbaya Zaidi unakuwa Upo Tayari Kumpandia "Dau" Mgonjwa asiye wako anyofolewe kwenye "Oxygen" ili awekwe Ndugu yako.UBINAFSI

[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji1621][emoji1621][emoji1621][emoji1621]
 
Kwa mujibu wa viongozi wa nchi hii ,Corona na matatizo ya kupumua ni majonjwa mawili tofauti
Tanabaisha aina ya viongozi.Kama ni aina ya ndugai,kabudi na msukuma na wa aina hiyo ni sahihi.
 
Haya mambo mimi nimejionea mwenyewe yaani sio kuambiwa, kaka alikosa mashine tukaambiwa masine iko moja na ina mtu kama tuna hela kidogo tutoe jamaa anyofolewe nilishindwa tukapambana kumuomba mungu tu wakaja kumwekea usiku saa nane asubuhi saa moja kaka yangu akafariki ....sitasahahau hii changamoto ya upumuaji imemuondoa mtu aliyekuwa nguzo kwangu
Daaah...Nimesikitika sana. Pole sana ndugu yangu.
 
Mimi naomba tutoe maoni yetu tunataka serikali ifanye nini ili iwe serious na ugonjwa huu uweze kuisha kabisa Tanzania. Kama ulivyoweza kuisha huko kwenye nchi zilizoweka lockdown na zilizopokea chanjo! [emoji120]
 
TAJA SERIKALI YOYOTE ILIYOCHANGAMKA KWENYE SUALA LA KUPAMBANA NA KORONA NA IKAFANIKISHA.
We unahisi Marekani mfano haijafanikisha kwa kufa watu 400k 2 katika wa2 300m..We unadhani kwa mwingiliano wa shughuli za maendeleo wa watu marekani hali ingekuwaje leo..Tatizo lenu Africa binadamu hamumpi thamani kama sio ndugu yako ndo maan unasikia vifo na bado unaona fresh 2
 
Kuna ambao hata geti la Regency hawawezi kuingia maana hawatamudu hata Registration fee tu achilia mbali huduma.Huko tuendako hakutakuwa na SIRI tena!Hadi pale tutakapoipigia saluti COVID na kukubali miongozo ya kidunia badala ya kushabikia nyungu na malimao+pilipili+tangawizi etc.It's as if duniani kote hivyo vitu havipo.Vilevile kama hizo ni TIBA/kinga,kwa nini hatuithibitishii dunia ili nao wapone kama sisi?
Je,ni hiyo Ubinafsi,uchoyo na kukosa upendo dhidi ya binadamu wenzetu?
Tunaogopa chanjo ya CORONA ila pilipili kichaa tunakunywa tds,nani katuambia ni salama?Tujitafakari.
Daa sometimez hata hahitaji akili kubwa sana kutafakari haya ni kutuliza kichwa 2..asante ndugu.
 
Kuna ambao hata geti la Regency hawawezi kuingia maana hawatamudu hata Registration fee tu achilia mbali huduma.Huko tuendako hakutakuwa na SIRI tena!Hadi pale tutakapoipigia saluti COVID na kukubali miongozo ya kidunia badala ya kushabikia nyungu na malimao+pilipili+tangawizi etc.It's as if duniani kote hivyo vitu havipo.Vilevile kama hizo ni TIBA/kinga,kwa nini hatuithibitishii dunia ili nao wapone kama sisi?
Je,ni hiyo Ubinafsi,uchoyo na kukosa upendo dhidi ya binadamu wenzetu?
Tunaogopa chanjo ya CORONA ila pilipili kichaa tunakunywa tds,nani katuambia ni salama?Tujitafakari.
Mimi Bibi yangu alishawahi kuwa nesi Mkuu muhimbili ko alikuwa na connection tayari lakini ameenda vipimo na matibabu kaacha 1.5m+ unaambiwa. Sas sisi wengine hyo inakuwaje
 
Taratibu ni zile zile Mkuu.

1. Kuvaa barakoa
2.Kutumia "SANTAIZA".
3.Kunawa Mikono na maji tiririka na sabuni.
4.Social Distancing.
5.Kama hakuna ulazima wa kutoka basi ni bora utulie nyumbani.
6.Kufanya Mazoezi.
7.Kula vyakula vya kuongeza kinga za mwili.
Sanitizer haziui kurusi...labda kunawa mikono
 
We unahisi Marekani mfano haijafanikisha kwa kufa watu 400k 2 katika wa2 300m..We unadhani kwa mwingiliano wa shughuli za maendeleo wa watu marekani hali ingekuwaje leo..Tatizo lenu Africa binadamu hamumpi thamani kama sio ndugu yako ndo maan unasikia vifo na bado unaona fresh 2
Nani anaongoza kuzika mamilioni ya watu mpaka leo duniani pamoja na ubabe wakujidai mijipesa??
 
Nani atalisha watu wakishinda nyumbani?
The only thing that will save lives from this disease is to stick our asses at home. But the problem comes Black asses are not adhesive at all!
 
By Boniface Jacob kupitia Twitter:

Tumuombe Sana Mungu Ndugu zangu,Wiki hii nimeona Mambo ya Kutisha.

Sikuwahi Kujua Ipo Siku sisi Binadamu tutagombea "Oxygen" wenyewe kwa Wenyewe INATISHA.

Mbaya Zaidi unakuwa Upo Tayari Kumpandia "Dau" Mgonjwa asiye wako anyofolewe kwenye "Oxygen" ili awekwe Ndugu yako.UBINAFSI
Italia wazee walivyofolewa sana ili kuokoa vijana! Lakini hapa tatizo ni kama rushwa na waauguzi kukosa maadili. Ila tatizo kuu ni serikali kuwa na huduma ya afya isiyoendana na idadi ya watu.
 
Hili watu hawalijui ,watu wakipata corona wanajikita kujifukiza na kutoangalia kupanda kwa sukari ambayo ni hatari zaidi ya korona.
Unajifukiza ili iweje. Lile joto halifiki kwenye mapafu bila mifumo ya mwili kufanya yake.
Labda kufungia njia za pua ili makamasi yatoke.
 
Wagonjwa wa kisukari na presha huu ugonjwa ukikukaba masaa mawili ni mengi .....!!! Stay away

Nimeugua Corona mara mbili, Nina Pressure na Sukari natembea kama Chuma Cha Mdachi
Jamaa yangu ana Sukari, Pressure, Vidonda vya tumbo na ngoma amepata Corona mara mbili anadunda kama chuma cha Mdachi, Chukua tahadhi nawa mikono epuka mikusanyiko
 
Back
Top Bottom